Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

Mimi mwanangu sio kukaa tu alete na mke wake kabisa na wajukuu nitawalea maana huo ndio upendo
 
Exactly twapaswa tusia attach mafanikio na umri, ila swala la kukaa nyumbani till your 30's nao ni ujinga, hasa kama ni mwanaume. Yaan huna hata pa kujishikisha, that's preparing for an early death.

Mleta mada naye asikilizwe. Japo kusema kweli hilo sio swala la kustajabisha kwenye jamii. Miaka ya nyuma by 20 tyr mtu akili haipoi anatokaje home. Tatizo ni hii generation yenye watu wazembe.
 
Bado nipo kwa Baba, na Baba yupo kwa Babu.
 
Hongera Sana mtoa mada. Na wengine endeleeni kuwasimanga Kwa lengo la kuwaamsha vijana walio kwenye 30s mpaka waamke. Huo ni umri wa kufanya maamuzi sahihi katika maisha.
 
Inategemea mbona waarabu wanaishi pamoja na familia zao?...umasikini unaleta utengano
 
Wewe umezaliwa familia ya makapuku Yani Wazazi wako walikufukuza kwenu maana hata ukitumia Dawa ya mswaki wanaona Unamaliza Hela kwahyo usitupangie sie wengine Yani me nihame kwetu wakati nkitoka Kijiwenu nakuta Ubwabwa Nyama ushaiva Jikoni halafu nihame kwetu kweli???
 
Mkuu
Kuna watu kwao Wana kila kitu
In short hata Mimi ningekua kwetu 😊😊 now

Ndio ivyo Tena nipo huku ughaibuni

So hatufanani Usifananishe LIPULI FC na SIMBA SC AMA YANGA vile vile FC BARCELONA AMA REAL MADRID na SIMBA AMA YANGA..

BILLNAS FT TID_LIGI NDOGO
 
dah unamlinganisha aleksi mkuu na vijana walamba midomo wa leo hawa? umemkosea sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…