Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

Wewe ni mpuuzi kweli. Kama kaweza yote hayo kwa mapana yake iweje mambo madogo madogo yamshinde?? Umeme mlituambia mitambo inafanyiwa service, mara kuna ukame, mara mvua zinanyesha mbali na mabwawa. Sababu za kitoto kabisa.
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Ichukue wewe basi
 
Sa Itakuwaje na wenyewe wanasema 5 tena , na ukionekana hutaki unateuliwa ubalozi !
 
Wewe ni mpuuzi kweli. Kama kaweza yote hayo kwa mapana yake iweje mambo madogo madogo yamshinde?? Umeme mlituambia mitambo inafanyiwa service, mara kuna ukame, mara mvua zinanyesha mbali na mabwawa. Sababu za kitoto kabisa.
Kwa hiyo kwa ubwabwajaji wako ulitegemea mvua iliyonyesha Kanda ya Ziwa Victoria, ambako mvua huanza kunyesha mapema, maji yake yakajaze mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi n.k. Sasa hiyo Jiografia uliyosoma shuleni inakusaidia nini. Mbwambwaje na akili.
 
We pwaguzi punguza kujipendekeza kwa Samia
 
Naona mishipa imekusimama
 
Rais anakuwa mkali kwani anaongoza familia yake! Tunachotaka ni Rais mwenye mawazo mapana na makubwa, anayefuata katiba na utawala wa sheria, anayewajibisha wateule wake. Mambo ya ukali na upole yanahusu zaidi familia yake
'Uwajibikaji' ni lugha ya kiuongozi tu, lakini anayewajibisha wenzie ataonekana mkali kwa anaowawajibisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…