Ujasiri wa mtu huanzia machoni kwake.Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
The critical problem is CCM, not your mother alone.Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Kama anahujumiwa inamaanisha hajiwezi.Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Huyu mama apumzike au apumzishweNidhamu hamna tena. Leo kwa mara ya kwanza TANESCO wamekata UMEME SIKU MBILI MFULULIZO MITAA YA MAMA SAMIA MWENYEWE MBWENI JKT. Siku 2 hakuna umeme. Ukipiga simu HUDUMA KWA WATEJA WANASEMA WAHUDUMU WOTE WAPO BUSY HALAFU WANAKATA SIMU BAADA YA SEKUNDE CHACHE. Hata ukirudia mara kumi, matokeo ni hayo hayo, simu inakatwa na TANESCO HUDUMA KWA WATEJA.
Haijalishi ataonekanaje ili mradi amefanya kazi bila kukiuka katiba na utawala wa sheria.'Uwajibikaji' ni lugha ya kiuongozi tu, lakini anayewajibisha wenzie ataonekana mkali kwa anaowawajibisha.
Na yeye hajaiweza,tatizo anacheka na hao jamaa wanaosimamia maeneo hayo.hakuna mtu aliyekwisha iweza hii nchi
Hajachoka bado, kwa nini apumzike?Huyu mama apumzike au apumzishwe
Chawa ndio wanaharibu nchi hiiHajachoka bado, kwa nini apumzike?
Kama mmechoka mnaambiwa hameni nchi, hamieni Burundi! 😂
Walimu walio wengi hawanaga akili. Kumbuka enzi hizo wengi wao walikuwa ni wale rejected. Mfano wengi wa waalimuHalafu wale walimu wakuu eti wanachangishana kumchukulia form ya kugombea 2025!
Ngoja mpaka kufikia 2024 watakapo fikia kutopatikana kwa mishahara ndio watajitambua
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Wenyewe wanakuambia kwamba "uchawa unalipa."Chawa ndio wanaharibu nchi hii
Hamia Gaza kule sio tabuToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Mambo yapi yasiyoenda?Sasa shida ni nini mambo hayaendi?
Nyie nyumbu wa Chadema mtajulia wapi hayo mambo , Watumishi ndio tunajua.Kuna tetesi, kuwa nchi ipo kwenye hatihati ya kufilisika 2024.
Ulidhani kukaa jirani na nyumba ya Rais ndio itakusaisia kuwa na Umeme Kama haupo ni haupo tuuNidhamu hamna tena. Leo kwa mara ya kwanza TANESCO wamekata UMEME SIKU MBILI MFULULIZO MITAA YA MAMA SAMIA MWENYEWE MBWENI JKT: KITU AMBACHO HAKIJAWAHI KUTOKEA.
Siku mbili mfululizo hakuna umeme mchana. Ukipiga simu TANESCO HUDUMA KWA WATEJA WANASEMA WAHUDUMU WOTE WAPO BUSY HALAFU WANAKATA SIMU BAADA YA SEKUNDE CHACHE. Hata ukirudia mara kumi, matokeo ni hayo hayo, simu inakatwa na TANESCO HUDUMA KWA WATEJA.
Chawa punguza kuiaibisha familia yako na ujinga mdogo mdogo.Embu acha kuandika vitu kama mtoto mdogo.kwa hiyo hivyo ndiyo vitu unavyoweza kusema nchi imemshinda? Unaelewa maana ya kuendesha Nchi?kama nchi imemshinda Angewezaje kulipa mabilioni ya pesa katika mamiradi makubwa makubwa,kulipa mishahara kwa wakati,kutoa ajira kwa vijana kwa maelfu,kuboresha huduma za afya,elimu, kusambaza maji safi na salama vijijini na mijini, kutoa Elimu bure?n.k.
Tuanzie wapi? Tukianza Upya tunamchagua nani mbona humtaji?Tukubali tu kuanza upya kwenye hii nchi lakini kusema kuwa tuna Rais kiujumla hakuna kwenye hii nchi