Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

Nyie nyumbu wa Chadema mtajulia wapi hayo mambo , Watumishi ndio tunajua.

Ukiona posho zinatoka ujue mambo ni matamu kuliko kawaida.

Nchi ingefilisika Waziri wa Fedha asingeongeza kiwango cha kuchukua Dola.
chawa huna unalolijua zaidi ya ujinga na mapambio.
 
Naendelea kusema, nitashangaa sana Kama Mama Samiah atachukua fomu tena 2025. Nitashangaa sana na kufedheheka sana. Angepisha aje mtu mwingine atakaye leta unafuu.
1. Mkuu utashangaa nini?

2. Utafedheheshwa na nini?

3. Asichukue fomu kwa nini?

4. Kwa sababu gani asichukue fomu?

5. Anayekucha ana nini asichokuwa macho Rais Samia?

Mkuu unayemtaka alete nafuu mtaje tumchambue mapema kama kweli ataleta huo unafuu!!!!
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Pale bandarini kuna watu wanamhujumu na yeye anawachekea tu
 
Wewe ni mpuuzi kweli. Kama kaweza yote hayo kwa mapana yake iweje mambo madogo madogo yamshinde?? Umeme mlituambia mitambo inafanyiwa service, mara kuna ukame, mara mvua zinanyesha mbali na mabwawa. Sababu za kitoto kabisa.
Wewe mwenyewe unayaita matatizo madogo madogo.sasa unaanzia wapi kusema nchi imemshinda wakati unafahamu hayo ni mambo madogo madogo na amefanya makubwa mengi sana yaliyochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake?
 
Lucas mwashambwa wewe utakua unaishi nje ya nchi halafu unaangalia TBC TU. Au la huna macho Wala masikio au unaishi usweken ambΓ ko hata pikipiki hazifiki.
 
Kila nchi inahitaji mfumo wake wa utawala. Nchi za wenzetu ambazo mifumo ya kitaasisi imeimarika, unasubiri report tu na kutoa miongozo, mambo yanaenda-hands off eyes on. Sasa kwetu huku ukijifanya eti Wakusubiri report, umeliwa. Samia anaweza kuwa mwema na mwenye uzalendo haswa, ila ukweli ni kuwa hana uwezo wa kuongoza serikali. Anaweza kufit kuongoza nchi, ila serikali hawezi. Nchi hii inahitaji Rais chuma haswa, ngangari na mtu wa field sio wa ofisini.
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Mtoa mada punguza ujinga shule Haina mwisho
 
Punguza ujinga Mzee.Kipimo Cha kama mambo yanaenda au laa viko wazi sana ni
-Makusanyo
-Mishahara
-Miradi
-Biashara kukua
-Usalama kuimarika
-Huduma za jamii
-Ajira
-Uwezo wa kulipa deni la Taifa
-Kukopesheka

Mengine hayo ni porojo,kama unadhani hawezi kuongoza Serikali jaribu tuu kutorosha mifuko ya mbolea au kwepa kodi utapata majibu.

View: https://youtu.be/nXLRdBZQ3KE?si=f-F-dxQ1JKtCCees
 
Hivi zile CD za "ajuza anaupiga mwingi" zlilipata scratches au zilipotea!? Maana Machawa naona wamepunguza spidi ya kuzipiga.
 
mzee, wewe ni Chawa wa Samia, mimi ni MwanaCCM, hatuwezi elewana. Pengine wewe unasoma tu report za serikali ila 'haushi' mtaani na kuzunguka nchi hii, hivyo uko mbali na uhalisia. Kama tukienda na Samia hadi 2030, nakuhakishia, tutarudi tulivyokua 2012.
 
Sawa Mimi naishi Mars 😁😁

Kama wewe ndio mwana CCM so inakuaje? Kuwa mwana ccm kunazuia hoja yangu hapo Juu?

Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba Rais anawekwa na system bila kujalisha wewe mwanaccm unamtaka au humtaki.

System inaangalia delivery au Tija ya Kiongozi sio wewe kumpenda au kumchukia.

Hata Marekani wanamlenda Trump hawezi kuwa Rais tena na walimpora awamu ya pili,sawa Mzee.

Mwisho Samia ndio Rais wako Hadi 2030, delivery aliyofanya Kwa miaka hii na maboresho aliyofanya ni yenye faida Kwa Nchi kuliko hiasia zako binafsi,got it? Meza au tena habari ndio hiyo.
 
Afadhali huyo tusiyemjuwa angalau afadhali tucheze bahati na sibu tunaweza hata kubahatisha. Huyu wa sasa Hana sifa wala uwezo wa kazi aliyoikalia. Ukiacha hizi tamaduni za chama changu, huyu hamna kitu.
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Ogopa sana wafanyakazi wa ngazi za chini
 
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Wapuuzi wote wamejipanga kupiga praise kuwa mama anaupiga mwingi na nchi ni ya mama.

Huu upuuzi una matokeo mabaya sana. Nchi hii belongs to Tanzanians. Rais anapopewa dhamana anapaswa kuwa muangalifu asijitwalie sifa za kuwa yeye ni kila kitu. Ina backfire vibaya mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…