Scaramanga
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 490
- 704
kamakuna changamoto watakuwa wamekusikia maana nimekutana na malori jioni hii nilipotoka taifa kuangalia yanga yakipita toka bandarini na yamefungwa king'amuziToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Embu acha kuandika vitu kama mtoto mdogo.kwa hiyo hivyo ndiyo vitu unavyoweza kusema nchi imemshinda? Unaelewa maana ya kuendesha Nchi?kama nchi imemshinda Angewezaje kulipa mabilioni ya pesa katika mamiradi makubwa makubwa,kulipa mishahara kwa wakati,kutoa ajira kwa vijana kwa maelfu,kuboresha huduma za afya,elimu, kusambaza maji safi na salama vijijini na mijini, kutoa Elimu bure?n.k.
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
samia ni dhaifu mnoToka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Ukishakuwa mkali na mtu wa kunyosha rula obviously utaonekana dikteta tu.Tunataka Mkali lakini hatuhitaji dikiteta
Aache kulalama kama danga, Hafai kuongoza anatakiwa, kuwa kiongozi, wa vicoba tu!Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao.
Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Ifikisiie TU, itakuwa cjui ni mara ya 3 nchi kufirisikaKuna tetesi, kuwa nchi ipo kwenye hatihati ya kufilisika 2024.
Unataka imshinde mara ngapi?Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao.
Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Haya majangili hayana huruma na sisiHii December itaisha watu tukiwa tumechoka Sana.
Nimeona manara analalamika , kuna kitu wanatengeza,
Ila hizi mbinu,ni za kipumbavu Sana , coz wanaumia ni wananchi masikini
World bank wameonya juu ya hatari ya kiuchumi inayoikabili nchi yetu .Kuna tetesi, kuwa nchi ipo kwenye hatihati ya kufilisika 2024.
Ni hatari mno.World bank wameonya juu ya hatari ya kiuchumi inayoikabili nchi yetu .
Sent using Jamii Forums mobile app