Hoja zake zilijibiwa? Au alikuwa anasema uongo?..Ustaadh Ilunga Kapunga badala ya kutetea Waislamu alijikita kushambulia Wakristo.
..badala ya kuichagiza serikali iwainue Waislamu kama raia wake, Ustaadh Kapungu alijielekeza kushambulia Wakristo wakati wote.
..mtu mzima kama yule, na Mtanganyika, alipaswa kutuunganisha badala ya kutugawa.
Si waliitwa magaidi mkaunga mkono hoja kwanini wasasa tukiwaita wahaini mnasema tunalipwa elf7?Uongo huu,
Asilimia kubwa ya Wazanzibari hawautaki muungano tangu siku nyingi. Na hiyo ndio sababu hata rais wao wa zamani Aboud Jumbe alitumbuliwa kinyemela. Je, hao Wazenji sio waislamu?
Ni kwa kuwa mnashuhudia uongo, uzushi, propagandaSi waliitwa magaidi mkaunga mkono hoja kwanini wasasa tukiwaita wahaini mnasema tunalipwa elf7?
Hoja zake zilijibiwa? Au alikuwa anasema uongo?
Kwahiyo nyie mliokuwa mkiwaita wazanzibari magaidi ndio mlikuwa mnasema kweli?
Sio sisi, ni serikali hiyo ya majizi, mafisadi, watekaji, wafiraji, wauaji unaowatetea weweKwahiyo nyie mliokuwa mkiwaita wazanzibari magaidi ndio mlikuwa mnasema kweli?
Kwahiyo unakataa wakiristo sio makafiri? Kwani kitabu ndio kinasema au wazanzibari ndio husema..Wazanzibari nao huwaita Watanganyika makafiri.
..huwezi kukuta Muislamu wa Tanganyika akamuita Mkristo wa Tanganyika kafiri.
..ndio maana nazidi kusisitiza kwamba Watanganyika tumechanganyika kidini.
Kwahiyo unakataa wakiristo sio makafiri? Kwani kitabu ndio kinasema au wazanzibari ndio husema
Wewe ndio sasa unataka kuleta udini. Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watu wa dini zote na hata wasio na dini hivyo acha uongo wa kijinga.HII CHUKI NA HILI JAMBO LINACHOCHEWA NA HAWA JAMAA WENYE ELIMU NDOGO YA THEOLOJIA WANAJIITA TEC N.K
WANASAHAU WAISLAMU WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI SANA
Kwahiyo kuchanganyika kunazuia ukweli kuwa mkiristo ni kafiri?..Waislamu na Wakristo tumechangamana kifamilia huku Tanganyika.
..jina kafiri, hata kama limo ktk maandiko Matakatifu, Watanganyika huwa hatulitumii.
..Waislamu na Wakristo wa Kitanganyika ni nadra sana kuitana majina mabaya, na kudhalilishana.
Kwahiyo kuchanganyika kunazuia ukweli kuwa mkiristo ni kafiri?
Yani badala ya kushughulika na kitabu kilichoandika washughulika na msomaji
Licha ya hivyo tu Tanganyika waKristo ni wengi kuliko waIslamKwa hiyo unataka islamized tanzania kwa kuwa kuna waislam wengi mikoa ya tanzania bara. Umechemsha, mfumo unaotawala dunia nzima ni wa kikristo, penda usipende kale ubwabwa msikitini sheikh
Kumbe kumuita mtu kafiri ni kumdhalilisha!..Mtanganyika Muislamu hawezi kumdhalilisha ndugu yake Mkristo na kumuita kafiri.
..Ndio maana katika hoja yangu ya awali kabisa nilikueleza kwamba nyinyi Wazanzibari familia zenu ni 100% Waislamu. Kwasababu hiyo hamuwezi kuishi na Wakristo vile ambavyo Waislamu wa Tanganyika wanaishi nao.
Kumbe kumuita mtu kafiri ni kumdhalilisha!
Ndio maana mnawapenda waislamu ila kitabu chao hamkipendi
Na wengi wa waislamu majina ndio hupendwa na wakiristo baada ya kufanikisha ajenda yenu ya kuwapotosha na kuacha mafundisho ya dini yao
Na hiyo ndio hufanya hizi harakati kupewa jina la utanganyika maana maaskofu wanawaona waislam wa bara ni kama wao kwa maana hawana tishio kwa kanisa hata kama wakiifisidi Serikali kwa kupendelewa hata hawahoji
Hata uamsho walitoka Zenji na sio bara kiufupi mmefanikiwa kuwashika akili
Sisi na nani? Are sure mimi ni mzanzibari?nyinyi
Sisi na nani? Are sure mimi ni mzanzibari?
Lubuni waislamu majina sio mimi
Hao wanaoitwa Asumani mnaokula wote nguruwe na kukutana bar
Waislam nchi hii tuna mengi ya kusema ni vile tumechagua upande wa amani miaka yote ila nyie mkiguswa tu mnapambania Tanganyika yenu
Makafiri ni nyie msiofuata njia ya Mtume wa mwenyezi Mungu (S.A.W)Wewe kafiri mkubwa, ni nani aliwalazimisha hao akina fundikira wamuachie Nyerere hiyo nafasi?