Basi ukae ukijua hata Tanzania bara tupo waislamu tunaoifutuata dini ukweli wa kuifuata sio hao mnaokula nao nguruwe makafiri wenzenu mnaowaita waislamu..kuna shida gani mtu kuitwa Asumani na akawa Muislamu?
..mbona Waislamu wa Senegal, Bourkinafaso, wanaitwa Fatima, Aminata, Kadija, ...?
..Ni matusi kusema Waislamu wa Tanganyika wanakula nguruwe na wasio Wakristo.
..kauli unazozitoa ndio zinazonifanya niamini huna ndugu Mkristo, na hivyo uwezekano mkubwa wewe ni Mzanzibari.
Uchafu gani huuu jitafakariUislam ni mojawapo ya kero hapa Tanganyika, inaludisha maendeleo nyuma kwa kasi sana
Kaeni kwa kutulia Wagalatia, ni zamu ya wenye Adabu na waliokufundisheni ustaarabuHATUUTAKI MUUNGANO WA KIJINGA AMBAO UNAFAIDA KWA WANANCHI WA UPANDE MMOJA TU.
TUTOLEE HUU UPUUZI WA HOJA YAKO, TANGANYIKA WAISLAM WAPO PIA HAKUNA UKOO USIOKUWA NA WAISLAM NA WAKRISTO HUKU TANGANYIKA. KWAHIYO DINI KWETU SIO HOJA, HATUTAKI HUU MUUNGANO FULL STOP
Basi ukae ukijua hata Tanzania bara tupo waislamu tunaoifutuata dini ukweli wa kuifuata sio hao mnaokula nao nguruwe makafiri wenzenu mnaowaita waislamu
Na tumekataa kutumika kuendesha ajenda yenu ya kusimika mfumo kristo Tanganyika
Mimi simtetei Samia hapa ila napinga upiganiaji Tanganyika kwani una ajenda ya udini kinyume na wanavyoaminishwa watanzania bara..wewe sio Mtanganyika.
..Na unaweza kufuata dini yako ya Uislamu bila kudhalilisha na kuchukia watu wa imani nyingine.
..hata Samia mnayempigania hapingwi kwasababu ya Uislamu wake. Kwanza aliosaidiana nao katika utekaji, utesaji, na mauaji, ni Wakristo. Hivyo akipingwa huwezi kusema tunataka mfumo kristo.
..Kwa mfano, Oct 29 Spika, Jaji Mkuu, Dpp, Cdf, Igp, Mwenyekiti wa Tume, Msajili wa vyama, wote walikuwa Wakristo. Samia peke yake ndio Muislamu. Sasa ukiupinga utawala wake kwanini anajificha kwenye Uislamu?
..Mbona uovu na udhalimu walioufanya yeye na genge lake hauna uhusiano wowote na mafundisho ya Uislamu, wala Ukristo? Hoja kwamba anapingwa kwa dini yake inatoka wapi? Na kumtetea kwasababu ya dini yake, wakati matendo yake ni kinyume na mafundisho ya dini, ni sahihi?
Mimi simtetei Samia hapa ila napinga upiganiaji Tanganyika kwani una ajenda ya udini kinyume na wanavyoaminishwa watanzania bara
Kaa ukijua kumuita mtu kafiri sio kumdhalilisha ila nikueleza uhalisia kuwa mtu huyo hamuamini Allah na Mtume wake na hafuati alichoamrisha Allah
Hata warabu wa makkah waliitwa makafiri kwa kuupinga kwao uislam na kusujudia masanamu
Wewe uelewa wako ni mdogo sana..kwani Tanganyika ikirejeshwa Waislamu wataathirika vipi? Na Waislamu si sehemu ya Watanganyika wanaodai nchi yao?
..au unataka kusema Mtanganyika hawezi kuwa Muislamu kamili mpaka pale nchi yake itakapokuwa imeungana na Zanzibar?
..Senegal, Mali, Guinea, Burundi, Uganda, ...kote huko kuna Waislamu na nchi hizo hazijaungana na Zanzibar.
..kuhusu jina Kafiri, sisi Watanganyika hatuitani jina hilo kwani tuna mahusiano ya damu / kidugu baina ya Waislamu na Wakristo.
..Hivi unategemea binti Muislamu aliyezaliwa na mama Mkristo amuite mama yake mzazi kafiri?
Ndugu yangu tutoe dini zote tubaki na dini asilia. Uislamu umeleta faida gani katika hii nchi ? Je kuna shule,zahanati , hospitali au chuo kilichojengwa na taasisi za kiislamu au waarabu ? Kwa nini walipojaa waislamu matajiri ni wahindi na waarabu ? Kwa nini waarabu wanashindwa kuwaisaidia wapalestina ? Pamoja na kwamba ndio wanaongoza kwa Cash reserves duniani. Ukiweza kuyajibu haya maswali utajua kwa nini Kenya haijawahi kuwa na Rais Muislamu. Na kwa nini Shilingi ya Kenya ni sawa na Yen ya Japan.Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Hizi propaganda zenu tumezivumilia miaka nenda miaka rudi ila ukae ukijua waislam (hasa wa bara) tumechagua upande wa amani ndio maana bahari imetulia tuliiiNdugu yangu tutoe dini zote tubaki na dini asilia. Uislamu umeleta faida gani katika hii nchi ? Je kuna shule,zahanati , hospitali au chuo kilichojengwa na taasisi za kiislamu au waarabu ? Kwa nini walipojaa waislamu matajiri ni wahindi na waarabu ? Kwa nini waarabu wanashindwa kuwaisaidia wapalestina ? Pamoja na kwamba ndio wanaongoza kwa Cash reserves duniani. Ukiweza kuyajibu haya maswali utajua kwa nini Kenya haijawahi kuwa na Rais Muislamu. Na kwa nini Shilingi ya Kenya ni sawa na Yen ya Japan.
Mimi sio mwanasiasa jibu tu hayo maswaliHizi propaganda zenu tumezivumilia miaka nenda miaka rudi ila ukae ukijua waislam (hasa wa bara) tumechagua upande wa amani ndio maana bahari imetulia tuliii
Na tunasema hatuchezi ngoma isiyotuhusu
Wewe uelewa wako ni mdogo sana
Kwani neno kafiri maana yake nini?
Ni kuwa kama mama yako ni mkiristo na hamuamini Allah na Mtume wake ila wewe mtoto ni muislam na unaitakidi kwa Allah ndio kusema huyo mama ako sio kafiri?
Halafu hao wazanzibari kwanini wasiwe ndugu zetu wakati tumeoleana na kuzaana au ndio kwakuwa unasema 100% ya wazanzibari ni waislam ndio maana mnapigania kujitenga nao au kuna kingine?
Si ajabu hata waislam wa bara wakija kuamka na kudai haki zao za kidini na kuabudu mtataka kujitenga nao
Kwani wewe unashindwa nini kuzaana na mzanzibari au unadhani hakuna waislamu Zanzibar waliotoka bara au wakiristo?
Kwanini kipindi hiki ndio mtake kujitenga na sio vipindi vya wakatoliki wenzenu kipi hasa kipo nyuma ya utanganyika wenu?
Kuumbwa na kuamini juu ya aliyekuumba ni vitu viwili tofauti..Wazanzibari hawautaki muungano kuwazidi Watanganyika.
..Sasa wewe pambana na Wazanzibari wenzake wauenzi na kuutukuza muungano kabla ya kushambulia Watanganyika kuwa hatuutaki.
..Pia waelimishe Wazanzibari wenzako kwamba Watanganyika wameumbwa na Allah kama wao, na sio makafiri.
Kuumbwa na kuamini juu ya aliyekuumba ni vitu viwili tofauti
Neno kafiri limetumika kwenye Quran na Quran ni kitabu cha waislam wote sio wazanzibari pekee
Wewe ukafiri wako sio tu kuwa kwasababu mtu fulani anakuita kafiri bali ni kwa sababu humuamini Allah na Mtume wake
Hivyo basi hata bila kuitwa wewe ni kafiri automatic na huo ndio ukweli
Wachukie wazanzibari ila sio kwa kigezo cha kukuita wewe kafiri, hata hao watanganyika huwa wanawaita makafiri mfano ni sheikh Hasan Ilunga ambae ni mtanganyika wa mwanza aliwaita makafiri mara kadhaa kwenye majukwaa yake
Na ukiangalia kwani kuna ubaya gani mtu asiemuamini Mtume Muhammad na aliyoteremshiwa kumwambia kuwa sio muumini wa Mtume yaani kafiri!!
Sasa kama umenielewa ni kuwa agenda hiyo ndio mlioibeba ndio maana mnapigania utanganyika kama ilivyokuwa kwa wazanzibari enzi za uamsho wakitaka kujitenga na Tanganyika wakiamini wanajitenga na makafiri ilhali waislamu wenzao tupo wengi kuliko hata hao makafiri
Tuliwakataa na sasa ni zamu yenu Tanzania is one
Achaa uongooKuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Wewe kafiri, labda nikuulize hivi: Ni nini kiliwafanya hao wazee kumpa Nyerere uongozi?!Makafiri ni nyie msiofuata njia ya Mtume wa mwenyezi Mungu (S.A.W)
Waislam hawakuwa na chuki kiasi cha kushindwa kumpa madaraka Mtu mwenye karama hiyo na uhitaji wa uongozi, hatuna roho kama za wagalatia
..Muislamu wa Tanganyika hawezi kumuita Mkristo kafiri. Huo sio msamiati wetu huku Tanganyika.