matukio kama haya yanaumiza sana.ila wezi wanauzi sana ndio maana watu wakisikia tu basi wanachojua wao ni kipigoTukio kama hilo pia liliondoa uhai wa kijana mmoja, alikuwa na uhusiano na mhudumu wa bar moja kwa upande wa kaunta, walilala pamoja kwenye hiyo bar kwani inavyumba vya wageni, walihitilafiana kidogo kwa masuala ya pesa za matumizi, hivyo jamaa aliamua kuondoka kwa hasira na huyo dada alimfuata kwa nyuma akipiga kelele mwiziii watu walikuja kwa hasira na kumuua..jamaa aliacha mke na watoto 2 hivihivi na yule dada alipotea tangu ck ile hadi leo.
Wauaji wanajuta maisha yao yote baada ya kuujua ukweli.
Kwa upende mwingine kuna kila sababu kuadhibu lakini kwa upabde mwingine twakosea kqani sio kila adhaniwaye mwizi ndiyematukio kama haya yanaumiza sana.ila wezi wanauzi sana ndio maana watu wakisikia tu basi wanachojua wao ni kipigo
Watakwambia hujawahi kuibiwa wewe!! Lakini hata kama uliibiwa huyo unaye muua ndo aliyekuibia?? Je unauhakika kuwa kweli ameiba? Mioyo ya utu haipo ndani mwetu.Tujiulize tangu wezi wameanza kuuawa wizi umeisha?
Ni kweli usemayo, wezi kweli wanatia hasira, niliwahi kuamka asubuhi sana nikwa nimejiandaa kwenda kazi, naingia kwenye gari na kupiga starter gari wala haina mpango wala dash bodi haina ishara yoyote, ndipo nikafungua boneti nkagundua wamechukua betri, nakua zaidi kumbe na betri wamekomba.Watakwambia hujawahi kuibiwa wewe!! Lakini hata kama uliibiwa huyo unaye muua ndo aliyekuibia?? Je unauhakika kuwa kweli ameiba? Mioyo ya utu haipo ndani mwetu.
Pole sana, lakini hapo kwenye red rekebisha,hii ni JF sio Fesibuku.Daaaaaah inauma xnaa MWAKA 2015. Nilimpoteza rafiki yangu na kaka yake waliuwawa Dar maeneo ya kigogo yeye na kaka yake akiwa ametoka likzo yake CHUO cha MWEKA Bsc ya wildlife waliuwawa na WATU kwa madai ya kuwa ni wezi wa bodaboda baada ya vibaka kushndwa kuwapora laptop na simu zao ndipo walipo waitia yoe ya mwiziiiii daah waliuwawa kikatili xnaaa inaniumaga mpaka Leo!!!! R.I.P DEAR BROTHERS
Asanteee sana NDUGU!! Samahani kwa neno xnaa badalaa ya sanaaPole sana, lakini hapo kwenye red rekebisha,hii ni JF sio Fesibuku.
Mungu akubariki sana kwa kua muelewa na kukubali kukosolewa,All the best.Asanteee sana NDUGU!! Samahani kwa neno xnaa badalaa ya sanaa
Hahahaaa labda atueleze tunalisomaje hilo neno...Pole sana, lakini hapo kwenye red rekebisha,hii ni JF sio Fesibuku.
Hebu cheki hiyo, inauma sana kwani inaumiza marafiki, wazazi na jamii inayoujua ukweli wa waathirika wa matukio hayo, tuwe mabalozi ktk jamii kubadilisha jambo hiliDaaaaaah inauma xnaa MWAKA 2015. Nilimpoteza rafiki yangu na kaka yake waliuwawa Dar maeneo ya kigogo yeye na kaka yake akiwa ametoka likzo yake CHUO cha MWEKA Bsc ya wildlife waliuwawa na WATU kwa madai ya kuwa ni wezi wa bodaboda baada ya vibaka kushndwa kuwapora laptop na simu zao ndipo walipo waitia yoe ya mwiziiiii daah waliuwawa kikatili xnaaa inaniumaga mpaka Leo!!!! R.I.P DEAR BROTHERS