Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

Iwe kiuhalisia au kifasihi, watanzania wengi wanamuombea Raisi wao mabaya. Hii ya WOTE TUKOSE ni hali isiyo ya kiafya hata kidogo kwa nchi changa kama Tanzania. ​

Sisi wengine hatunaga maombi ya Ubaya kwa watu wengine. Kwani maombi ya ubaya mara nyingi Mungu hayafanyiii kazi. Pia huo ni ushirikina kama sio uchawi.
 
Kwanini Wayahudi walimkatwa YESU na mpaka sasa hawamkubali iweje ww ufuate sabato ebu nijuze
 
Maono mazuri sana.
 
Basi sisi ni nani tukupinge?!Wacha wanywe kikombe hicho!
 
Kwanini Wayahudi walimkatwa YESU na mpaka sasa hawamkubali iweje ww ufuate sabato ebu nijuze

Sijakuelewa Mkuu!

Unataka nikueleza kuhusu kwa nini naenda kuabudu siku ya Sabato, kuishika na kuitakasa?
Au wataka nikueleze kuhusu Wayahudi na Sabato?
Au wataka nikueleze wayahudi na tuhuma za kumuangika Yesu msalabani?
 

Hasa wanaojifanya viziwi!
 
Mimi I'm the karma believer ikiwa TAL anaonewa na wanaomuonea TAL wote watakuwa na mwisho mbaya Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…