Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

Kwanini Wayahudi walimkatwa YESU na mpaka sasa hawamkubali iweje ww ufuate sabato ebu nijuze
Akaenda Nazareth hapo alipolelewa,na siku ya Sabato,akaingia kwenye Sinagogi kama desturi yake,akasimama ili asome🙁Luka 4:16)Yesu huyu ye mtibeli ni nani asiende Jumamosi kuabudu!
 
Kuna watu humu ndani Wanapenda sana dhihaka. Hizo dhihaka ndizo ambazo zinamchukiza Mungu kila siku… uvumilivu wa Mungu ni wa hali ya juu sana, Ila siku akianza kuwasambaratisha ndio wanaanza kukimbia makanisani kuanza kulia na kusaga. Mtoa Mada kasema alivyo sema na tunajua wazi Mjumbe huwa hauwawi…sasa wenye kutoa dhihako- endeleeni… yatakapo wakuta- msije kuanza kufukua tena huu uzi kusoma kilicho semwa…
Binafsi nimeshangaa sana wana ccm Kama Polepole na Gwajima wanavyopambana Lissu atoke- kuna kitu hapo- Yaani maadui wanamtaka hasimu wao kienyeji enyeji hivi? Hiyo nguvu wameitoa wapi Mpaka wengine kuachia ubalozi?

Bahati nzuri, Siku huwa hazigandi- Ee Mungu na njoo upesi uwape bakora Farao style ndio wakutambue. Watoto watukutu dawa yao ni fimbo tu ndio huelewa.
 
Hao wengine ni mambo ya madaraka tuu. Wanafanya siasa
 
Iwe kiuhalisia au kifasihi, watanzania wengi wanamuombea Raisi wao mabaya. Hii ya WOTE TUKOSE ni hali isiyo ya kiafya hata kidogo kwa nchi changa kama Tanzania. ​
Wala usihofu mkuu; Dua mbaya za hila na chuki tu , tena kwa sababu za kipuuzi kama dini au ukanda, hugeuka kuwa maombi yenye neema sana kwa muonewa mbele za Mungu na huyajibu kwa wakati tu hivyo muonewa hufanikiwa tu bila maadui kutarajia. Samia aliwekewa mizengwe tangu day one na kina bashiru na mwenzake polepole lakini Mungu akapangua. Ameendelea kupangua meeeeeengi mabaya waliyomuwekea. Hakuna anayezungimzia mafanikio yake licha ya kuonekana wazi wazi kabisa.

Na Sasa maadui wamepata pa kushikiria, UCHAGUZI. Hapa wanakuja na Kila aina ya hila. Eti Leo wanasifia uchaguzi wa 2020......dah!!!!!!! Binadamu ni kiumbe kibaya sana. Eti lissu huyu waliyempiga risasi na kumnyima haki zote Leo hii aliyemuhifadhi ndani kwa kuvunja tu Sheria ndiye anayelaumiwa kuwa ni katili kuliko wote. Hiki kiumbe kiitwacho binadamu, acha tu. Nani anazungumzia ufisadi wa trail 1.5?!!! Nani anazungumzia marufuku ya kisiasa na vyombo vya habari?!!!! Hivi ni mara ya kwanza nyumba ya Ibada kufungiwa?!!!! Nani amechambua kitaaalamu sababu za kufungiwa?!!!! Kwa malengo ya kimakusudi kabisa, sababu si wao, maamuma wanalishwa sumu ya udini kwa Kasi sana.

Tunaomuombea mema tupo, tena wa kutosha tu, na tunaamini kwa dhati kabisa, Mwenyezi Mungu ataendelea kumlindia haki yake na heshima yake ya kuongoza.
 
Nimeandika mada kadhaa zenye ujumbe kama huu kumuhusu Bi Mkubwa ila huwa zinafutwa. .Tusubiri muda utasema.
 
Nami natia muhuri wa moto katika maneno Yako wewe mleta bandiko. Maombi yangu wahusika waendelee kushupaza shingo ili fagio la chuma lipite. Huenda Watanzania wakapumua maana Mtandao umelitesa Taifa Kwa muda mrefu.
 
Sabato Njema!

Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua kushindwa hivyo hawatanisikiliza.

Nikamuuliza nini kitatokea, akaniambia Watashushwa chini, chini kabisa.

Nikauliza chini, chini kabisa ndio wapi na nini? Akanijibu, Chini, Chini kabisa kwenye giza mahali ambapo wenye macho na wasio na macho huwa kitu kimoja. Wenye masikio na wasio na masikio huwa kitu kimoja.

Nikauliza swali la mwisho, itakuwa lini na nitajuaje?

Akanijibu sitajua pekeangu kwani litakuwa tukio la wazi kila mtu ataliona na atashangaa. Utakuwa ufagizi wa ajabu wenye ghadhabu isiyozuilika lakini mmoja wao hatashuka chini, yeye ataugua ugonjwa wa kulala muda mrefu kitandani. Na nafasi yake itachukuliwa akiwa anajitambua akiwa kitandani.

Nikauliza, je hiko ndio kile kisasi cha yule wa Arusha?
Akasema hapana, Yule wa Arusha ataleta Ufagizi wa Pili kabla naye hajafagiliwa.

Basi Nikaamka natazama ilikuwa saa 11 alfajiri. Wala sikutaka kuiwaza wala kuitafakari. Nikaenda zangu Kanisani kuabudu na kumwomba Mungu.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana.
Na hili sio Fasihi!

Nataka nione ni Makande au mtu yule mwenye jina gumu ni mkweli au anatania.

TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Mtibeli kwa sababu ni Mzee wangu ambaye pia tulisoma shule moja nitamtafuta aombe TOBA maana kabla ya Oktoba tunaweza tusiwe nae. Mungu amesikia sauti za watu wema zikilemewa na maumivu kwa sababu tu ya mtu huyu.
 
Iwe kiuhalisia au kifasihi, watanzania wengi wanamuombea Raisi wao mabaya. Hii ya WOTE TUKOSE ni hali isiyo ya kiafya hata kidogo kwa nchi changa kama Tanzania. ​
Kama anajua wananchi hawampendi anang’ang’ania nini hicho cheo? Kama kuiba katuibia sana akimtumia Rostam na mtoto wao Abdul na mkwewe Mchengerwa.
Wewe bibi Acha uroho wa madaraka hizo fedha zitakutokea puani.
 
Back
Top Bottom