Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

Sabato Njema!

Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua kushindwa hivyo hawatanisikiliza.

Nikamuuliza nini kitatokea, akaniambia Watashushwa chini, chini kabisa.

Nikauliza chini, chini kabisa ndio wapi na nini? Akanijibu, Chini, Chini kabisa kwenye giza mahali ambapo wenye macho na wasio na macho huwa kitu kimoja. Wenye masikio na wasio na masikio huwa kitu kimoja.

Nikauliza swali la mwisho, itakuwa lini na nitajuaje?

Akanijibu sitajua pekeangu kwani litakuwa tukio la wazi kila mtu ataliona na atashangaa. Utakuwa ufagizi wa ajabu wenye ghadhabu isiyozuilika lakini mmoja wao hatashuka chini, yeye ataugua ugonjwa wa kulala muda mrefu kitandani. Na nafasi yake itachukuliwa akiwa anajitambua akiwa kitandani.

Nikauliza, je hiko ndio kile kisasi cha yule wa Arusha?
Akasema hapana, Yule wa Arusha ataleta Ufagizi wa Pili kabla naye hajafagiliwa.

Basi Nikaamka natazama ilikuwa saa 11 alfajiri. Wala sikutaka kuiwaza wala kuitafakari. Nikaenda zangu Kanisani kuabudu na kumwomba Mungu.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana.
Na hili sio Fasihi!

Nataka nione ni Makande au mtu yule mwenye jina gumu ni mkweli au anatania.

TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Samia anakwenda kumaliza mwendo kwa fedheha kubwa mno.
 
Duh!.. maneno magumu sana haya.
 
Nami nasubiri kujua kuwa ilikuwa ndoto, maono au kitu gani.
Wale wasioamini katika Mungu, wakae kwa kutulia wapate Notes
the-four-stages-of-sleep-2795920_FINAL-5c05c2fc46e0fb00018dac3d.png
 
😀😀
Sio shida kunizidi elimu. Tatizo wewe ni mtoto wa shule. So elimu yako haina maana mpaka utakapohitimu
Ahahahahaha! Tuweke CV zetu humu Mimi na wewe tuone nani ana elimu kubwa. Au unafikiri unapoandikaga tupost ili uungwe mkono ndio usomi eti? There's an English saying, "The strongest person is one who always stands alone"! Usiandike ili wengi wakukubali ndio uonekane Msomi! Huo ni ujinga na upumbavu!
 
Uzuri nyuma yetu yuko jirani yetu Mtu Mrefu...Watashusha tanga tu muda si mrefu!
 
Ahahahahaha! Tuweke CV zetu humu Mimi na wewe tuone nani ana elimu kubwa. Au unafikiri unapoandikaga tupost ili uungwe mkono ndio usomi eti? There's an English saying, "The strongest person is one who always stands alone"! Usiandike ili wengi wakukubali ndio uonekane Msomi! Huo ni ujinga na upumbavu!

Mimi sijabisha kuwa kwako na elimu Kubwa.
Huna haja ya kuweka CV yote. Humu JF huna haja ya kuweka CV yako ili uonekane una elimu kubwa.
Michango yako ndio CV yako Mkuu. Kama una michango yenye tija ni moja ya vielelezo kubwa unaelimu Kubwa.
Na sio hicho unachotaka kukifanya
 
Wala usihofu mkuu; Dua mbaya za hila na chuki tu , tena kwa sababu za kipuuzi kama dini au ukanda, hugeuka kuwa maombi yenye neema sana kwa muonewa mbele za Mungu na huyajibu kwa wakati tu hivyo muonewa hufanikiwa tu bila maadui kutarajia. Samia aliwekewa mizengwe tangu day one na kina bashiru na mwenzake polepole lakini Mungu akapangua. Ameendelea kupangua meeeeeengi mabaya waliyomuwekea. Hakuna anayezungimzia mafanikio yake licha ya kuonekana wazi wazi kabisa.

Na Sasa maadui wamepata pa kushikiria, UCHAGUZI. Hapa wanakuja na Kila aina ya hila. Eti Leo wanasifia uchaguzi wa 2020......dah!!!!!!! Binadamu ni kiumbe kibaya sana. Eti lissu huyu waliyempiga risasi na kumnyima haki zote Leo hii aliyemuhifadhi ndani kwa kuvunja tu Sheria ndiye anayelaumiwa kuwa ni katili kuliko wote. Hiki kiumbe kiitwacho binadamu, acha tu. Nani anazungumzia ufisadi wa trail 1.5?!!! Nani anazungumzia marufuku ya kisiasa na vyombo vya habari?!!!! Hivi ni mara ya kwanza nyumba ya Ibada kufungiwa?!!!! Nani amechambua kitaaalamu sababu za kufungiwa?!!!! Kwa malengo ya kimakusudi kabisa, sababu si wao, maamuma wanalishwa sumu ya udini kwa Kasi sana.

Tunaomuombea mema tupo, tena wa kutosha tu, na tunaamini kwa dhati kabisa, Mwenyezi Mungu ataendelea kumlindia haki yake na heshima yake ya kuongoza.
Uhaini wa Lisu uko wapi? Na je, huyo mama ni lini aliwahi kutoka hadharani akakemea ufisadi? Utekaji? Umesahau kauli zake, kifo ni kifo tu? Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake? Katiba ni kijitabu tu?
 
Kosa la Lissu ni nini? Kusema tuweke vizuri uwanja usiinamie upande mmoja baadae twende uwajani tukacheze. MUNGU ni wa haki always
 
Sabato Njema!

Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua kushindwa hivyo hawatanisikiliza.

Nikamuuliza nini kitatokea, akaniambia Watashushwa chini, chini kabisa.

Nikauliza chini, chini kabisa ndio wapi na nini? Akanijibu, Chini, Chini kabisa kwenye giza mahali ambapo wenye macho na wasio na macho huwa kitu kimoja. Wenye masikio na wasio na masikio huwa kitu kimoja.

Nikauliza swali la mwisho, itakuwa lini na nitajuaje?

Akanijibu sitajua pekeangu kwani litakuwa tukio la wazi kila mtu ataliona na atashangaa. Utakuwa ufagizi wa ajabu wenye ghadhabu isiyozuilika lakini mmoja wao hatashuka chini, yeye ataugua ugonjwa wa kulala muda mrefu kitandani. Na nafasi yake itachukuliwa akiwa anajitambua akiwa kitandani.

Nikauliza, je hiko ndio kile kisasi cha yule wa Arusha?
Akasema hapana, Yule wa Arusha ataleta Ufagizi wa Pili kabla naye hajafagiliwa.

Basi Nikaamka natazama ilikuwa saa 11 alfajiri. Wala sikutaka kuiwaza wala kuitafakari. Nikaenda zangu Kanisani kuabudu na kumwomba Mungu.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana.
Na hili sio Fasihi!

Nataka nione ni Makande au mtu yule mwenye jina gumu ni mkweli au anatania.

TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Conspiracy theories and Fore Shadowing Propaganda at work!
 
Back
Top Bottom