Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

Kuna watu wenye Viburi wanaenda kushushwa mpaka chini, chini kabisa. Hawatainuka tena

Sabato Njema!

Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia kuwa sipaswi kuandika tena habari hizo wala sipaswi kuwabembeleza watu hao. Kwani wameamua kushindwa hivyo hawatanisikiliza.

Nikamuuliza nini kitatokea, akaniambia Watashushwa chini, chini kabisa.

Nikauliza chini, chini kabisa ndio wapi na nini? Akanijibu, Chini, Chini kabisa kwenye giza mahali ambapo wenye macho na wasio na macho huwa kitu kimoja. Wenye masikio na wasio na masikio huwa kitu kimoja.

Nikauliza swali la mwisho, itakuwa lini na nitajuaje?

Akanijibu sitajua pekeangu kwani litakuwa tukio la wazi kila mtu ataliona na atashangaa. Utakuwa ufagizi wa ajabu wenye ghadhabu isiyozuilika lakini mmoja wao hatashuka chini, yeye ataugua ugonjwa wa kulala muda mrefu kitandani. Na nafasi yake itachukuliwa akiwa anajitambua akiwa kitandani.

Nikauliza, je hiko ndio kile kisasi cha yule wa Arusha?
Akasema hapana, Yule wa Arusha ataleta Ufagizi wa Pili kabla naye hajafagiliwa.

Basi Nikaamka natazama ilikuwa saa 11 alfajiri. Wala sikutaka kuiwaza wala kuitafakari. Nikaenda zangu Kanisani kuabudu na kumwomba Mungu.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana.
Na hili sio Fasihi!

Nataka nione ni Makande au mtu yule mwenye jina gumu ni mkweli au anatania.

TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Kwani tunavyosema hapa Tz mpya inakuja kumbe hamuelewi...
Tunavyosema chawa watunze pesa mambo yanaenda kubadirika kumbe hamuelewi Bado🙄..

Anyway Bado kitambo kidogo sn
 
Sabato Njema!

Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea.

Basi Nikaamka natazama ilikuwa saa 11 alfajiri. Wala sikutaka kuiwaza wala kuitafakari. Nikaenda zangu Kanisani kuabudu na kumwomba Mungu.

Mungu wa mbinguni awabariki Sana.
Na hili sio Fasihi!

Nataka nione ni Makande au mtu yule mwenye jina gumu ni mkweli au anatania.

TaikonMaster
Kwa Sasa Dar es salaam
Mkuu Taikoni, Robert Heriel Mtibeli
kwanza ndoto za alfajiri baadhi ni maono, ila kuwa makini sana hizi siku za mwisho!, Bwana wetu ametufundisha wataibuka manabii wa uongo!, watafanya ishara na miujiza,kwa kutumia jina langu lakini sii wangu!

Pili kwa wenye viburi, be careful usichanganye wenye viburi vya kiburi, na wale walio busy, wametingwa na shughuli wakaonekana kama viburi!。
viburi viburi ndio watafyekelewa mbali, halafu wale viburi busy,willbe spaired! Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?
P
 
Ngoja nikale kwanza mkuu
 
z4.jpg
 
Inasomeka kabla ya tarehe 7 septemba 2025. Maana Leo ndio mwisho.
 
Back
Top Bottom