Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Sio kila mzazi ana busara mkuu. Nasikitika kusema wako ni mmoja wapo.Sio kweli davinc, hasa kwa wazazi hawa wa mjini ambao wengi wao wanapenda sifa waonekanaje kwa marafiki zao, mfano mzuri ni Mimi, Mother alinitafutia mchumba ambae yeye kwa maono yake anafaa kuolewa, tena kwa sababu anamuona kanisani jinsi anavyojitoa n.k Binti ni mzuri, Mimi kwenye maongezi na huyo binti nikaona hapa hakuna kitu, Binti mjuaji then washikaji wakanambia jinsi ambavyo hajatulia nikapiga chini, basi nikatafuta mchumba mwenyewe kutoka kigoma huko Tena alikua bikra maana Binti kwenye harakati za kunihakikishia hajapigwa ikabidi iwe hivyo, japo sikuitoa nilipompeleka nyumbani wazazi wakamkataa kisa muonekano wake sio mzuri/elimu n.k unaelewa? Kwahiyo kwa wazazi wa sasa sio wazazi woote wanafaa kua washauri kwenye upande huo, ndio maana sasahivi nafanya mambo yangu bila kuwashirikisha kwa lolote.
Btw usitumie wazazi katika swala hilo pitia kwa wajomba au babu kama wapo...