Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Sio kila mzazi ana busara mkuu. Nasikitika kusema wako ni mmoja wapo.
Btw usitumie wazazi katika swala hilo pitia kwa wajomba au babu kama wapo...
 
Sio kila mzazi ana busara mkuu. Nasikitika kusema wako ni mmoja wapo.
Btw usitumie wazazi katika swala hilo pitia kwa wajomba au babu kama wapo...
Ndio hivyo mkuu, Ili kuhusu huyu single mother nikichakata ubongo wangu vizuri, nikiona kama siwezi kukaa nae itabidi nimchukue tu huyo muha Ambaye sio mzuri kwa muonekano/elimu lakini najua nitakaa nae kwa amani na kuzeeka pamoja, kwa sababu nidhamu yake ipo juu, upole n.k
 

Sizungumzii usingo maza!! Kesi ipo kwenye dini hapo, hiyo ni kero ingine achana nayo kabisa!!
 
Mpe ushauri mtoa mada.
Ndugu yangu aliolewa akiwa na watoto watatu kila mtoto na baba yake kabla mimi sijazaliwa
Sasa hivi ana watoto watano nikimaanisha wawili wa huyu mume aliyemuoa

Ndoa imedumu kabla mimi sijazaliwa mpaka leo, nimejua wale wakubwa watatu sio wa huyu mzee nikiwa tayari ninajitambua.

Hayana Muongozo....!
 
Waislam wengi hawazingui ndoani!!coz wanajua talaka nje nje na chuma kinaingia kingine!!

Hawa wakristo wengi ndio wana viburi plus feminism!!

We oa usiogope mkuu!!
 
Unachosema ni kweli.

Tatizo zama hizu watu tumebadilika sana.

Maswala ya kuchepuka na kupasha viporo tumeya-normalize sana.
Hadi imefikia inaonaekana ni kitu cha kawaida.
 
Oa ndugu achana na maneno ya mitandao kuchapiwa ipo tu
Kama ukishindwa kuoa huyo basi tafuta bikra
Kwasababu yeye hana ma ex
Ma ex huendelea kuzagamua wake zenu hata baada ya nyie kuwaoa
Single mama anawezakuwa aliachana vibaya na mzazi mwenzie na hapo alipo hatamani hata kumuona huyo jamaa au anatamani hata afe lakini ana ki ex chake kingine mahali ndiyo kinamfinda na huwezi jua

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
sharti la kuoa bikra unalijua? lazima nawe uwe bikra hujawahi kaza watoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…