Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Unda tume ipite kukusanya maoni, hapa utaingizwa chaka
 
Uko sahihi
 
Umetengeneza chai kama justification ya unachokiamini
 
Bila shaka ushapata muongozo.

Binafsi sina muongozo!

Kaka yangu(from maza Mkubwa) ameoa single mom (naye kihistoria alirubuniwa ingawa ilikuwa enzi za chuo, pia kutokana na ukaidi wa kushaurika kwa watoto wa chuo kama tujuavyo), sasa wana Watoto 3 na maisha yanaendelea vizuri(ingawa sijui ya sirini baina yao)
 
Shabani na Zamaradi si unaona wapo pamoja???

Shabani kamkuta Zamaradi ana watoto 2,na yeye kapigilia misumari 2 kwenye jeneza!

Single mother's ni watamu mno,shida zao tu... Junior akianza kusumbua na wewe utasumbuka!

Utasikia mwache Junior achezee tu hiyo simu,ukimkataza atalia! Unaona kabisa Tecno yako inavunjwa kioo,bado unaambiwa mwache Junior, ukimkataza atalia
 
Sema washkaji wengi wanafiki kinoma mkiwa humu mnawaponda ila mnawaoa sana mm majamaa zangu wengi waliooa wameanza Moja bila
Leo kwa mara ya kwanza umeongea ukweli, ndoa nyingi huku naziona za single maza.

Ila ingependeza single maza wangeoana na single faza ili kubalance mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…