Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Singo maza hapana sio wa kuoa mkuu, we jichanganye unaanza kumtetea kwasbb ya hisia za ngono......na jingine sio rahisi muislamu kubadili Dini ni swala la mda tu.tena kama baba mtoto alikua muislamu mwenzie hapo utalia kabisa utasikia wewe unaolewa je na kafiri, rudi nikupe chochote unacho taka kwa ajiri ya Allah ila uachane na kifiri, huyo ili uwepuke moto wa jihanamu na laana.
Wengi tu wanabadilika na hawana shobo kujitangaza. Hongera jitu jeusi mwarabu mtarajiwa. Naskia miislam mieusii mmeahidiwa mkifa kwenye uislamu mnabadilika kuwa miarabu ndo maana mnashobo za kindezi kwenye uislamu kuliko wenye dini wenyewe.
 
Kubali kataa ndugu na wazazi wana athari katika maisha yako ya ndoa. Au huyo mwanamke au mwanaume hutaenda kumtambulisha?? Hawatataka kujua background yake?
Ni sawa, ila wao watatakiwa wa kupkea maamuzi tu kwenye maisha yako labda tu awe na history ambayo haifai kwenye jamii yaani haifai kabisa lakini kama eti ni kuzaa tu
 
Kuzaa tu? Unaona jambo dogo eeh.?
Kwangu mimi siwezi funga ndoa na mwanamke aliekwisha zaa. Labda wanaume wenzangu wenye mawazo finyu
Unafikiri kuzaa au kutokuzaa kabla ya ndoa ina guarantee lifetime ya ndoa yako? Wengi wameoa single mothers na wameishi, wengine wameoa mabinti wenye hawana watoto ila ndoa chali baada ya mwaka tu...sisemi single maza hawana shida wala ndoa hazivunjiki, hapana!
 
Unafikiri kuzaa au kutokuzaa kabla ya ndoa ina guarantee lifetime ya ndoa yako? Wengi wameoa single mothers na wameishi, wengine wameoa mabinti wenye hawana watoto ila ndoa chali baada ya mwaka tu...sisemi single maza hawana shida wala ndoa hazivunjiki, hapana!
Hata kama kuoa ambar hajazaa sio guarantee ila kuoa aliyekwisha zaa ni ujinga wa mwisho. Mimi sina mtoto afu nioe ambae ana mtoto. Labda kama nimefuata umario wa wanaume wa dar. Ila kama nina purchasing power ya kutafuta mwanamke yoyote wa kuoa siwezi enda angukia kwa mwenye mtoto ilihali sina watoto mimi
 
Hili ndio jibu kuna wengine wanapasha mpk viporo kabla na baada yakuingia ndoani the best chance awe bikra which is very very rare kwa maisha ya sasa
Kabisa mkuu, wengi wanaolewa ili tu aonekane ameolewa, siyo kwamba anampenda mme Hapana....

Tunaona wake za watu wengi tu, ukiomba namba ya simu kunyimwa siyo rahisi.
 
Wewe ndio umenielewesha mkuu, wengine naona wanapiga blah blah, weww ndio umenipa sababu ya kwanini nisioe single mother Asante.
Moja kati ya sifa yao kuu ni unapoingia nao kwenye mahusiano unapata mapenzi moto moto ili akushawishi umuoe ukishaingia nae kwenye ndoa ndio utaona rangi yake halisi na ni kwanini wanakuwa hivyo? ni kwasababu ameshaharibiwa kisaikologia kutokana na alichopitia so hapo unakuta yupo kwa malengo binafsi ya kutafuta heshima kupitia ndoa na pia jiandae unaposhindwa kutimiza mahitaji yake jiandae kuchitiwa. Na kawaida wanapenda watoto wao kuliko mwanaume wake.Mkuu ninaexperience cos nina date na single mother nipo nae kwasababu ninapata mtelezo but niwe mkweli sina mpango wa kumuoa
 
Back
Top Bottom