Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

Eeh nyingi zimepaki maeneo ya Coco Beach
Mkuu inawezekana kuna uhusiano wa Bandari kuwa Wazi na Ujio wa hili dubuwasha la Wamarekani.
 

Attachments

  • 20220813_154214.jpg
    37.7 KB · Views: 5
  • 20220813_154222.jpg
    56.5 KB · Views: 5
Kila siku nikipita maeneo ya central police nakuta msururu wa trucks za IT na hapa hapa nyumbani. Huwa zinashushwa na gari moshi?
Ni kweli kuna meli ilikuwepo bandarini ikishusha magari ya kutosha..juzi nimeiona kwa macho yangu..labda kama ni kuondoka iwe jana.
 
Mtapatwa na shinikizo la damu bure mnakasilishwa na mtu ambaye hamna namna yoyote ya kumtoa wala hamna uwezo kumrudisha mliyekuwa mnamuabudu kazi mliyobakiwa ni kufungua mada za kujaribu kumkera tu ili angalau mioyo yenu ipate kupoa, poleni sana.
 
"Hilo nalo nawaachieni nendeni mkalitizame kwa ukaribu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…