Tumia MARINE TRAFFING SHIP TRACKING APP. Bandarini kuna meli sita (06) sasa, nje ya bandari kuna meli (09).Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
Imekuja tupu, itarudi fullMkuu inawezekana kuna uhusiano wa Bandari kuwa Wazi na Ujio wa hili dubuwasha la Wamarekani.
Acha uongoUwongo! Meli baharini zipo zaidi ya 30 na nyingine zinaondoka na kuingia kila iitwayo siku walahi
Mnyonge mnyongeni Lakini haki yake mpeni [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Umeongea Kizalendo sana Ndugu yanguHivi wizara ya fedha na uchumi/siku hizi kuna biashara na uchumi na hao uchukuzi /au uwekezaji wameshawahi kukaa pamoja kama team na kuangalia na kulinganisha ufanisi wa bandari.
Kuna tetesi za rais wa Rwanda kudai kwamba Tanzania inaweza kujiendesha kwa bandari tu.yaani makodi yote yasiwepo lakini bandari tu inaendesha nchi?
Pili hata hayati alikuwa ana amini hilo utajiri wa kodi Tanzania upo bandarini?
Vijiweni kunasemw hivyo ,hizo wizara wameshawHi kutathimini namna ya kuboresha mazingira haya ya ushindani?
Mimi ni mdau wa kodi na mara nyingi nafuatilia,nimewahi kusikia majirani zetu wamepata ubia mkubwa kwenye kampuni kubwa ya meli hapa africa mashariki na kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kama wanataka kusafirisha mizigo basi waende kule.meli haibebi mizigo kuanzia dar.hili nalo limewafanya wanaotoa mizigo kuañza kufanya hivyo.sasa meli nyingi huona ni hasara aje ashushe aondoke mtupu(hizi kauli nimewHi ziona humu)kuna taasisi ndani ya nchi inafuatilia hili.
Kile chuo cha degree ya kijeshi arusha kina mengi ya kufundisha vijana wetu.
Jumamosi Asubuhi hakukuwa na Meli hata MojaTumia MARINE TRAFFING SHIP TRACKING APP. Bandarini kuna meli sita (06) sasa, nje ya bandari kuna meli (09).View attachment 2324943
Zimepeleka watalii ARUSHA na KILIMANJARO, acha umbeaWakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
Nasikia boss wao mkubwa ni mzungu,so kazi zinafanyika kifanisi sana,yaani swala la kumaliza meli siyo shida tena ,wamejipanga sana wale jamaa,wiki ile niliona wameingiza yale mamashine mapya manne,tuachenj utank,jamaa wanaupiga sanaTender yao ishatangazwa
Bandari ndio inafanyiwa usafiKWAHIYO MELI ZIKO YARD ZINAFANYIWA USAFI?
Wanajua yote haya shida ni kuwa wana siasa ndiyo wanaharibu kuweka/kuwapa watu wasio na vigezo kusimamia na kuendesha Ile bandariHivi wizara ya fedha na uchumi/siku hizi kuna biashara na uchumi na hao uchukuzi /au uwekezaji wameshawahi kukaa pamoja kama team na kuangalia na kulinganisha ufanisi wa bandari.
Kuna tetesi za rais wa Rwanda kudai kwamba Tanzania inaweza kujiendesha kwa bandari tu.yaani makodi yote yasiwepo lakini bandari tu inaendesha nchi?
Pili hata hayati alikuwa ana amini hilo utajiri wa kodi Tanzania upo bandarini?
Vijiweni kunasemw hivyo ,hizo wizara wameshawHi kutathimini namna ya kuboresha mazingira haya ya ushindani?
Mimi ni mdau wa kodi na mara nyingi nafuatilia,nimewahi kusikia majirani zetu wamepata ubia mkubwa kwenye kampuni kubwa ya meli hapa africa mashariki na kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kama wanataka kusafirisha mizigo basi waende kule.meli haibebi mizigo kuanzia dar.hili nalo limewafanya wanaotoa mizigo kuañza kufanya hivyo.sasa meli nyingi huona ni hasara aje ashushe aondoke mtupu(hizi kauli nimewHi ziona humu)kuna taasisi ndani ya nchi inafuatilia hili.
Kile chuo cha degree ya kijeshi arusha kina mengi ya kufundisha vijana wetu.
MELI ZIKO WAPI?Bandari ndio inafanyiwa usafi
Nina emoji ya mama hapa anajitikisa flani kwa kujizungulusha nyuzi 90 kwa mirindimo ya pwani ...Nimesoma hii kwa sauti legevu na macho ya kusinzia
[emoji2]
Vita ya urusiWakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?