π€£π€£πππNi kweli tofauti yao ndogo sana, kuna mhaya nilikua nakaa nyumba 1 yeye alikuwa hajapata kazi bado lakini lifestyle yake unaeza sema ni bilionea au kigogo flani hivi...muda wote moka inapigwa kiwi matambo sana,sa sijui alipopata kaz alikuwajeKabisa mkuu. Ila utani wa wahayana wachaga ni wa kistaarabu maana wote ni fighter wakubwa kimaisha
Mbona kwenye utapeli wachaga hawako? Tapeli ni Wahaya na ndiyo Nija wetu Tz. Wezi wa kichaga mbona walistaafu muda mrefu sana baada ya kuwa billionaire? Japo siyo wezi kihivyo maaana kesi kubwa za wizi hasa mabenki hatukuwasikia. Hata mijizi na mifisadi ya mali hasa awamu ya 5 hakuna wachagga. Wangekuwepo tungesikia maana awamu hii na damu ya kichagga ni Incompatible. Ni wivu tuBaada ya utapeli na wizi kuthibitiwa siku hizi Wachaga wanalialia eti serikali inawaonea [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila tuseme ukweli kuna janja janja nyingi za Wachaga zimethibitiwa ndo maana mnaona kama serikali inawaoneaMbona kwenye utapeli wachaga hawako? Tapeli ni Wahaya na ndiyo Nija wetu Tz. Wezi wa kichaga mbona walistaafu muda mrefu sana baada ya kuwa billionaire? Japo siyo wezi kihivyo maaana kesi kubwa za wizi hasa mabenki hatukuwasikia. Hata mijizi na mifisadi ya mali hasa awamu ya 5 hakuna wachagga. Wangekuwepo tungesikia maana awamu hii na damu ya kichagga ni Incompatible. Ni wivu tu
Tanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kituShida inakuja pale mhaya anapojilinganisha na mchaga kimaendeleo na kielimu ndo ugomvi unaanzia hapo.
Wahaya bado bado sana labda kwenye utapeli wanatuzidi
Sure kuna makabila ambayo ukweli hata serikali ijivunie. Nayo ni Wachagga, Wahaya, Wasukuma na Wanyakyusa. Ukweli tuseme hata kwa akili wako vizuri. Maeneo nyeti ya kutumia brain utawakuta kibao. Kwa kuanzia tu Mahospital Drs na Vyuoni yaani great brains.Yap utani au mijadala kama hii sometimes tunaweza kuitumia kama chachu ya kuzidi kusonga mbele kama powerful tribes hapa Tz
Wachaga usingeweza kuwasikia kwa awamu ya 5 ya mafisad nk kwa sababu huko kwenye vitengo vikubwa wachaga hawana wadhifa Ni nyoka tu wa chin chinMbona kwenye utapeli wachaga hawako? Tapeli ni Wahaya na ndiyo Nija wetu Tz. Wezi wa kichaga mbona walistaafu muda mrefu sana baada ya kuwa billionaire? Japo siyo wezi kihivyo maaana kesi kubwa za wizi hasa mabenki hatukuwasikia. Hata mijizi na mifisadi ya mali hasa awamu ya 5 hakuna wachagga. Wangekuwepo tungesikia maana awamu hii na damu ya kichagga ni Incompatible. Ni wivu tu
Hivi Rugemalira na mama wa mil 10 za mboga si wa BK?Mbona kwenye utapeli wachaga hawako? Tapeli ni Wahaya na ndiyo Nija wetu Tz. Wezi wa kichaga mbona walistaafu muda mrefu sana baada ya kuwa billionaire? Japo siyo wezi kihivyo maaana kesi kubwa za wizi hasa mabenki hatukuwasikia. Hata mijizi na mifisadi ya mali hasa awamu ya 5 hakuna wachagga. Wangekuwepo tungesikia maana awamu hii na damu ya kichagga ni Incompatible. Ni wivu tu
Sijafika Bukoba ila nasikia moja ya sifa za miji ya Mbeya, Bukoba ba Moshi inafanana fanana kwa uoto na madhara zingine, pengine tabia za wakazi nazo zinafanana so wanakuwa na kutaka kuzidiana design kama ilivyo hulka ya binadamu walio wengi!!Hao ni ndugu mmoja, ongeza na Mnyakyusa
Si kweli vyuo vikuu vyote tena Kongwe kama UDSM, SUA, Muhimbili utajionea. Shida yao huwa hawajioneshi. Wachagga wana maintain low profile sana. Yaani wamejaa Tele hukoTanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kitu
Wachaga wengi waliosoma ni mambo ya fedha uhasibu na uchumi wanapenda maeneo ya wizi wizi
Huyo Rugemalira Ni wa Bk huyo jamaa Ni Don balaaHivi Rugemalira na mama wa mil 10 za mboga si wa BK?
Asante mkuuSijafika Bukoba ilanasikia moja ya sifa za miji ya Mbeya, Bukoba ba Moshi inafanana fananakwa uoto na madhara zingine, pengine tabia za wakazi nazo zinafanana so wanakuwa na kutaka kuzidiana design kama ilivyo hulka ya binadamu walio wengi!!
Sure vita yao ilianzia awamu ya 4 ambayo ilikuwapia na mrengo fulani sitautaja. Mikakati ilikuwakuwaondoa wachagga na awamu ya 5 ikasafisha. Wachagga wako busy sana muda huu kuimarisha biashara zao wakati mkiwa mnatumbuana kila siku. I tell you Hawa jamaa Wachagga plan zao huwa si za kitoto.Wachaga usingeweza kuwasikia kwa awamu ya 5 ya mafisad nk kwa sababu huko kwenye vitengo vikubwa wachaga hawana wadhifa Ni nyoka tu wa chin chin
Sent using Jamii Forums mobile app
Original Hayas hao.Hivi Rugemalira na mama wa mil 10 za mboga si wa BK?
Huo wingi wa maprofesa umefaisha nini bukoba? Au ndio sifa za kijingaTanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kitu
Wachaga wengi waliosoma ni mambo ya fedha uhasibu na uchumi wanapenda maeneo ya wizi wizi
Hv Aliekua VC wa UDSM si alikua mhaya sijui bado Yuko au kastaafu tyar?Si kweli vyuo vikuu vyote tena Kongwe kama UDSM, SUA, Muhimbili utajionea. Shida yao huwa hawajioneshi. Wachagga wana maintain low profile sana. Yaani wamejaa Tele huko
Nenda vijijini uone kulivyo kuzuri na mijengo ya uhakika ramani za Ulaya na Marekani tofauti na uchagani nyumba za maana wamejenga mikoa mingine sio kwao iwe mjini au vijijiniHuo wingi wa maprofesa umefaisha nini bukoba? Au ndio sifa za kijinga