Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Shida inakuja pale mhaya anapojilinganisha na mchaga kimaendeleo na kielimu ndo ugomvi unaanzia hapo.

Wahaya bado bado sana labda kwenye utapeli wanatuzidi
Hivi mchaga ana elimu?

Bora mnyamwezi
 
Kuna mhaya alikodi hotel ghorofa moja kwa miezi miwili akafanya aliyofanya ile hotel akachukulia mkopo
Mwenye hotel alikuja kustuka kitu inapigwa mnada [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app

Utawekaje dhamana ya ghorofa bila kupeleka nyaraka za umiliki wa jengo/ardhi (let say Title deed) kwa anayekukopesha!???

Mods anzisheni jukwaa la watoto,, hasa hasa kipindi hiki cha likizo
 
Utawekaje dhamana ya ghorofa bila kupeleka nyaraka za umiliki wa jengo/ardhi (let say Title deed) kwa anayekukopesha!???

Mods anzisheni jukwaa la watoto,, hasa hasa kipindi hiki cha likizo
Toka usingizin amka ukojoe......ulitaka nianze kusimulia ilivokua? We Ni sawa na Tecno phantom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kitu

Wachaga wengi waliosoma ni mambo ya fedha uhasibu na uchumi wanapenda maeneo ya wizi wizi
Hilo halina mpinzani.

Kuna ripoti niliona kuwa Kati ya wahaya 6 mmoja ana degree.


Hata idadi ya madocta wa shule na wale wa hospital, huko kwenye Sheria ndo husisema kama ilizaliwa bukoba.

Bado waalimu wakawaida Tu huko ndo balaa.


Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Wahaya waseme shida iko wap
 
Mmeanza kujisifia visivyokuwepo.


Bado hujawafahamu wahaya vzr
Watu Wana mpaka university zao refer kairuki university na cosad hospital kule bukoba.

Njoo kwa mesuma hotel na hotel kibao posta.

Njoo makampuni ya biotech ya mfuruki
Njoo kwenye mafuta ya kupikia ya mukwano


Kuna wafanyabiashara wakubwa wengi Tu wa kihaya inawezekana hata hao wakinga hawana lolote

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Ninawafahamu vizuri sana, hata huyo wa mesuma ninamjua vizuri sana, huwezi kumuita 100 % mhaya, anayerun si yule demu millen kwa sasa, wanaheshabika wengi wanaishia kusoma sana na utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…