Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
Mzee kavulugwa ,huyu ndo kabaki Kama mzee, mzee Mwinyi uyo kaisha kula chumvi ,kwake KILA kitu ndio, Wanamvuluga mzee, ila kweli lipo Jambo Kama haliko sawa hata msaidizi wake amechec flan alafu amekunja uso pia
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
Kweli kabisa kanuna sana
 
Kuongoza nchi kazi. Hapo huko kununa lazima current akufanyie kazi. Hebu angalieni kwenye orodha ya wanaohudhuria kuapishwa kwa Mteule Rais Ruto yuko ama kakatwa?
 
Wakuu

Nawaza kwa sauti!

"Mstaafu aliekwisha kustaafu lakini hataki kustaafu kustaafishwa"

"Kitabu kilichoandikwa Kisha kikaachwa kitamaliziwa kwa staili HII"

Màana

Haoni kimbele juu alivokuwa amepanga hasa urais wa vijana wake!

Vuguvugu la Burundi limemchanganya coz ndio upepo utaanzia magharibi kuja kwetu!

Ujio wa FDR unakuja kwa Kasi na FDR Sio chaguo lake inamuuma coz maslahi yake yanaweza kusiginwa!

Pk kamshinda ujanja katika ujasusi wa kumpachika mtu wao somewhere au kamshinda kijasusi hivyo anataharuki Moyoni!

Au

Hapo kenya mambo hayajawa alivyotaka!

Tusubiri

"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
Amechukia bei ya mafuta kushuka, alitaka izidi kupaa wazidi kufaidi
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.

View attachment 2350179
In the loving memory of Borntown

In the loving memory of Mr Tanzanite

In the loving memory of Mzee

Refer yoga!!!?
 
Back
Top Bottom