Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Ha
Hao wahasibu sijui madaktari sijui police sijui mawaziri walifundishwa na kina nani ili ujue wewe ndiye mwenye IQ tudogo.?
 
Vipi ushapata ajira au bado tamisemi hawajakuona?
 
Mwalimu wako aliekufundisha hadi hapo ulipofikia najua tu huwezi kusema mbele yake ndiyo maana umetaja kiuwoga woga, pili hukusema kwanini ni janga umetaja taja tu kada bila kutoa sababu ni zipi ili ionekane ni janga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]ngoja nicheke kwanza kaahh,mwl Mimi ntoe aseehh siko huko japo sikatai wapo walimu vilaza mnooo truth shall be told wether we like it or not!
Kuna mwl mpk naonaga aibu Mimi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!
Ikitokea serikali ikasema itufanyishe mitihani wengi watabaki na itasiaidi mnoo natabaki wawe wanatufanyia hvyo yaani ili tuheshimiwe aseeh...
 
Tatizo limeanzia mbali sana. Ilifika mahali ikawa ni taaluma yenye kudharaulika sana kwa sababu za msingi kabisa. Anzia wakati wa UPE hadi kufikia kuchukua wale form four failures kwenda ualimu. Mtu akikosa vyote akiwa na Division 4 inayokaribia zero, ndiyo alienda ualimu. Huo ndiyo ukweli mchungu.
Sasa tutegemee kutoka watu wa aina hiyo?

At least siku hizi wameliona na wanataka kuchukua the best students. Lakini nani aende kwenye uozo huo? Inahitaji akili ya ziada kuwavuta vijana wenye Div 1 na 2 kwenda huko.
 
Unafaa kuigwa na kila mwalimu. Mi kuna mwl mmoja namfahu sana kipindi niko Nansio anaitwa Ndija, yule kwa pesa watu wakasome kiasi kwamba alivyowekeza pale nansio si vya kitoto.
Kuna walimu wako vzr Tanzania hii hii,Mimi mshasema nnafanya yangu Ila class pindi Niko vzr ,nilihamia shule haijawahi pata A ,bwana mwaka wangu walipata for the first time!sijisifu Ila kufundisha najua na akili nnazo!mahela natafuta pia
 
unaweza kumchukia mwalimu aliyekushika mkono ili uweze angalau kuweza kuandika "a"? We una laan siyo bure. Wana IQ ndogo? We unajua hata maana ya IQ? Tuambie maana ya IQ na IQ kubwa inaanza ngapi mpk ngapi, IQ ya kati na ya mwisho. Tupe na mifano ya wenye IQ kubwa duniani.
 
Kuna walimu wako vzr Tanzania hii hii,Mimi mshasema nnafanya yangu Ila class pindi Niko vzr ,nilihamia shule haijawahi pata A ,bwana mwaka wangu walipata for the first time!sijisifu Ila kufundisha najua na akili nnazo!mahela natafuta pia
Kiufupi kila kada kuna mazezeta na walio vzr. Mf. Dr. anayesahau mkasi ndani ya tumbo ama kupasua kichwa badala ya mguu, ama kufanya utabibu wake mgonjwa anakufa. Injinia aliyeshindwa kusoma enzi za mkuu yule wa tabora, mainjinia kibao wanaotumbuliwa kwa ubovu wa kazi rejea wa juzi huko zanzibar. Kila sehem mafailure yapo. Unakuta mtu sa hivi ni nesi nae anavimba kichwa wakati darasani mimi ambaye ni mwalimu sa hivi ndo nilikuwa nampga tafu enzi tunasoma wte.
 
People with mega projects/busy with their business wont spend their time arguing with brainless morons like this guy.
Kuna kipindi mwamba alikuja na mada ya kuwa yy ubahili umemsaidia mpaka ameweza kujenga nyumba, ana usafiri na amefungua biashara ya hardware Goba huko, anakampuni yake na alikuwa na project ya kujenga nyumba ya ghorofa ...nilimuona bonge la HUSTLER,.. mara nikaanza kuona anakuja na mda za kumsifia Nikki Wapili, mara mada za michepuko daaah nikaanza kuwa na wasiwasi na yale aliyeyaandika.
 
We una shida haijawahi tokea, baba wa Taifa alikuwa mwalimu, mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Magufuli alikuwa mwalimu, Waziri mkuu tuliye naye sahivi alikuwa mwalimu. Bado unasema walimu wana IQ ndogo? We kama siyo kichaa zimebaki siku chache sana uwe kichaa. Chukua hatu katibiwe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu hawa watu ni kwamba hapo walipofika wengi wamepita njia ngumu sana na wengine wamefika hapo kwa kuunga unga, acha wabakie hivyo walivyo
 
Kama wewe ni bora kuliko walimu basi tulia na ubora wako, mnachosha na mada za kuwasema walimu kila siku, hizo ni dalili za stress
 
Mimi nipo huko na dv yangu nzuri tu ya enzi hizo nikiwa kilosa agricultural sec school o'level, adv Ihungo bukoba moja na chuo ni mhitimu wa SUA GPA ni 3.8 uppers second class. Jamii yyte hata afya ama injinia wapo na vilaza ambayo dr. Mwinyi kawatimua juzi tu.
 
Kama Kuna mambo yana sababisha walimu kuchukiwa ni kuomba hizi kazi za sensa na uchaguzi.Kila inapofikia kipindi hiki chuki zinaonekana wazi.Ila hata kada zingine wanaomba shida ni uwingi Wa walimu.Ukimuuliza vizuri mtoa mada ni kwanini anachuki na walimu utashangaa sababu zake zisizo na msingi.
 
Mtu aliyekufundisha kusoma na kuandika leo unamletea dharau Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…