Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Mna mitazamo ya kitoto sana ambayo bila shaka haiwasaidii sana.Why shouldnt you mind your own biz..
 
Kijana mnamshambulia sana Kwa kashfa alizotoa Hila walimu kuna vitu vingine Huwa mnajitakia ww hata temporary job ya kulipwa elf 20 Kwa siku mnakomaa nayo na nyinyi mnaandika barua majobless waliokuwa mtaani lazima wawachukie ww unaenda Hadi kufanya usaili unalipwa elf 20 hapo nauli na Kula juu Yako ww upo tu
 
Leo kwenye atm na maeneo around ya benki kulikuwa na watu wengi sana nikasema kuna ugeni nini au semina

Ila nilivyoona wengi wamevaa suruali za vitambaa na mashati ya drafti wamechomekea baadhi na baada ya kusoma huu uzi nimejua [emoji16]
..

Sio utani ni kweli


Ila cha kujiuliza kwa nini wengine hawadharauliki ni nyinyi tu ? Shida iko wapi ?
 
Lkn walimu ndio kundi bora kabisa nchini humu.Wanatufunza na watoto wetu.Sawa hawana hela sana ila wana baraka nyingi saaana
 
jambo kubwa ninalosikitika ni kwamba, nimefundishwa na waalimu, walinivumilia sana. lakini ukweli usiopingika ni kwamba, waalimu wana uelewe mdogo sana, wana roho mbaya sana na kamwe hawatakuja kujikwamua. ninasema hivi kwasababu pamoja na kuwepo ukweli huu, sina ujasiri kuwaambia hivyo kwasababu wao wanasema mimi nisingefika hapa bila wao. tuendelee tu kuwafariji.
 
Umepiga kwenye mshono
 
Wewe ni yupi Kati ya hao?
 
Tuchukue huo huo mtihani tukupe wewe usiye mwl. ila unazo akili ushindane naye. Mwalimu ni msaidizi ama mfumbuaji kwa mtoto so usitake naye arudi shuleni apige 100 kama ya mtoto. We daktari wa sasa biology uliwazidi wote kwenye ufaulu?
Mtihani mnatunga wenyewe alafu bado mnafeli? Sijui shida nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…