Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukaolewa!?!Nilikuwa mwalimu pale mawe matatu Misungwi, nikaona ualimu ni ukuda, nikaacha.
Hahahaaa
Lkn walimu ndio kundi bora kabisa nchini humu.Wanatufunza na watoto wetu.Sawa hawana hela sana ila wana baraka nyingi saaanaWalimu masikini....Akina Kisandu Nalimison...
Ni wengi sana hivyo pengine siyo rahisi kuwapa mishahara mikubwa kwenye nchi kama yetu iliyojaa ufisadi. Na kwa vile kazi yao haihusishi ulaji wa rushwa wa moja kwa moja kama hao wa kada zingine basi wanaonekana wana maslahi duni...
Lakini hawa watu ndiyo injini ya taifa na wanastahili heshima yote tunayoweza kuwapa. Kila mtu amepita kwao....
Ingekuwa vizuri tunapowasimanga hivi basi tutoe na njia za jinsi wanavyopaswa kujikwamua hata kama ni kuichagiza serikali iwape kipaumbele. Hii siyo kada ya kubezwa!
jambo kubwa ninalosikitika ni kwamba, nimefundishwa na waalimu, walinivumilia sana. lakini ukweli usiopingika ni kwamba, waalimu wana uelewe mdogo sana, wana roho mbaya sana na kamwe hawatakuja kujikwamua. ninasema hivi kwasababu pamoja na kuwepo ukweli huu, sina ujasiri kuwaambia hivyo kwasababu wao wanasema mimi nisingefika hapa bila wao. tuendelee tu kuwafariji.Kwenye watumishi wa umma kuna kada mbalimbali, afya, wanasheria, walimu, wahandisi, madereva, maafisa utumishi(HR), mafundi mchundo, wahasibu, askari n.k
Ila katika makundi hayo yote yaliyopo kwenye utumishi wa umma kuna kundi ambalo watu wake wengi wana upeo mdogo sana. Bado nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Hili kundi limekuwa na watu ambao wapo very low, IQ ipo chini sana. Naiomba serikali kuchukua hatua za haraka.
Huenda tunajiuliza kwanini tupo hapa, kwanini hatuendelei lakini tunashindwa kujua tuna watu wa aina hii kwenye Serikali yetu tukufu.
Kwanini sio madaktari? Kwanini sio manesi? Kwanini sio wahasibu? Kwanini sio wahandisi? Kwanini sio madereva? Kwa nini sio maafisa utumishi HR's?? Kwanini sio wanasheria? Kwanini sio Askari? Kwanini ni nyie tu?
TATIZO NINI?
War.........Li.........MU...................Ni janga la kitaifa
Nadhani tunaongea kitu kile kile....Lkn walimu ndio kundi bora kabisa nchini humu.Wanatufunza na watoto wetu.Sawa hawana hela sana ila wana baraka nyingi saaana
Mwalimu analipa kodi gani?Kwani yeye halipi kodi? We humchangii ndo maana kwenye kuajiri huhusiki, alichosomea ndo kinamlipa siyo kikodi chako.
Mwalimu hata kuandika hujuiHalafu unaweza kuta jamaa kama huyu hana hatia kazi anaishi kwa sehemu yake [emoji56]
Mwenzako huyo kakuchana ukweliSiyo ukuda ila akili yako ndio ilitafsiri kikuda. Ulivyoacha ukaenda wapi na sasa uko hatua gani kuelekea maisha mazuri ya kipeponi?
Umepiga kwenye mshonoWalimu akili zao tu huwaga ni ndogo pia, mm naamini tukichukua mwanafunzi anaeshika nafasi ya kwanza kwenye somo lolote lile tukampambanisha na mwalimu wake wa somo husika wafanye mtihani wa hilo somo basi Kuna chance kubwa ya mwanafunzi kupata maksi kubwa kuliko mwalimu wa hilo somo. Walimu wengi ni vilaza watupu kichwani ndio maana japo elimu yetu na masomo tunayosoma ni mepesi in nature but wanafunzi wengi wanafeli kwasababu tunafundishwa na vilaza waliofeli. Nenda India ukaone elimu yao ilivyo, mtihani Lisaa limoja na nusu hayo maswali yote ni cheche nakwabongo hutoboi hata swali moja. Sisi masomo yetu ni rahisi sanaaa hata physics ya advance uwezekano wa mtoto wa darasa la tatu kuimudu upo kama tu walimu wataanza kufanyiwa interview kwa wale waliofaulu tu
Wewe ni yupi Kati ya hao?Usidharau Kazi ya mtu kwa kua yako haisaidii,sio Kila mwl Ana upeo mdogo bwana mdogo au sio Kila mwl masikini au jana Pesa ,kazi yoyotemo vile we imavojiheshimisha nayo ,kuipenda na kuithamini.
Kuna watu Wana upeo mdogo wako huko taasisi zingine kwa kubebwa tu Ila hawana wanalolijua.
What I can tell you is jus learn to respect people ,haojalishit wewe uko kada gani ,unapokea mshahara kiasi gani!Kila mtu na maisha yake na anavoishi.
Shida ya walimu haswa Grade A ni uoga mnoo na kujiona wao wanyonge hapo ndo wanafeli,walimu wengi wa Secondary hawayumbishwi na Wana misimamo,nadhani elimu pia inachangia mti kujiamini
Mi nilishasemaga nna shida na Pesa Ila sitapoteza muda kuomba Kaz za kimbwa kimbwa Kama sensa,sijui kusimamia uchaguzi nikifika 35yrs ndo Niko hukoo,wananishangaa Sana na kujiona najidai Ila I have decided to respect, value and love myself before anyone...Kama walimu wote tungekua na msimamo Mmoja tungeheshimu Sana ,shida ni Hawa Grade A ndo waoga mnoo na wanapelekeshwa Sana..
Mtihani mnatunga wenyewe alafu bado mnafeli? Sijui shida niniTuchukue huo huo mtihani tukupe wewe usiye mwl. ila unazo akili ushindane naye. Mwalimu ni msaidizi ama mfumbuaji kwa mtoto so usitake naye arudi shuleni apige 100 kama ya mtoto. We daktari wa sasa biology uliwazidi wote kwenye ufaulu?