Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Vilaza wapo kwenye ualimu tu
 
IQ ipo low sana
 
Na hapo kuna mobile banking, Ila bado wanakimbilia ATM kuangalia salio
 
Bora na nyie mseme huu ukweli
 
Hatuwaachi mpaka mbadilike
Kwa hiyo hata bosi wako Majaliwa ambaye ukimuona tu unatamani kumlamba miguu naye hajitambui siyo!

Na yule marehemu unayemsujudi mpaka kesho naye alikuwa hajitambui?
 
Mimi na kazi ya sensa wapi na wapi?
 
Afu walimu wana inferiority complex sijui kwanini?

Shida itakuwa kwenye mafunzo yao huko kuna namna fulani ya ujasusi unatumika kuwadunisha hadhi.
 
Kwa hiyo hata bosi wako Majaliwa ambaye ukimuona tu unatamani kumlamba miguu naye hajitambui siyo!

Na yule marehemu unayemsujudi mpaka kesho naye alikuwa hajitambui?
Mental case hiyo...achana nayo
 
Mi sina shida na walimu ila wamejisahau sana ikifika meimosi huwa wanaamini ile ni siku special kwaajili yao tu na siyo watu wengine, na kwenye mbio za mwenge wanashona sare za vitenge
Na Kuna kuwabadilisha itachukua muda sana
 
Kwa hiyo hata bosi wako Majaliwa ambaye ukimuona tu unatamani kumlamba miguu naye hajitambui siyo!

Na yule marehemu unayemsujudi mpaka kesho naye alikuwa hajitambui?
Majaliwa ana akili nyingi mnooo, na aliondoka huko kwenye ualimu miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…