Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
- #141
Vilaza wapo kwenye ualimu tuMimi nipo huko na dv yangu nzuri tu ya enzi hizo nikiwa kilosa agricultural sec school o'level, adv Ihungo bukoba moja na chuo ni mhitimu wa SUA GPA ni 3.8 uppers second class. Jamii yyte hata afya ama injinia wapo na vilaza ambayo dr. Mwinyi kawatimua juzi tu.