Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Hamna jipya mnaishi kizamani mavazi ya kizamani sana, wanawake na wanaume wote mashti ya draft
Umeshawai kuona rubega la form six au material ya satin unaowaona na drafts wanadumisha asili yao ya maasai shuka wakiwa maeneo ya changanyikeni
 
Ila pia Arusha mitaa wanaopatikana hao wanaojiita wadudu ni maeneo katili sana kwa vijana laini laini. Ukiwa mitaa kama kinondoni ukamchukua kijana mmojawapo kati ya wale wanaong'aa lips kwa kuzilamba ukamshusha mitaa ya ngarenaro na sendoz zake na soksi na bukta ataishi kwa tabu mno.
Hakuna lolote, hayo yote ni script tu ila mtaani hayapo..... kama ni vibaka wapo kila mji.
 
🤣🤣 Umezeeka anza afya ya akili eti experience mkuu ulikua unakaa maeneo gan ukute ulikua longido au mererani huko unajisifu umekaa arusha na unaexperience eti
Hahaha you wish. Sadly nimeishi arusha since 90s mpaka juzi juzi hapa. Still my favourite place
 
Unasemaje wenyeji hawana shida nao wakati ujio wa Makonda alipewa angalizo kuwa Arusha kuna wadudu?

Na kwa kufanikiwa kwake kuwamudu tayari imekuwa kipimo cha kukubalika kwake!
Ngenya mtu wangu rudisha ile avatar picha yako flani lialien flani la kutisha limevaa headphones
 
Hakuna lolote, hayo yote ni script tu ila mtaani hayapo..... kama ni vibaka wapo kila mji.
Siongelei vibaka, naongelea mfumo wao wa maisha, huwezi ishi nao kama wewe ni wale vijana laini mafuta mafuta lips zinang'aa vibukta vya pink huwez jichanganya nao. Dar ni rahisi kutoka ukiwa hivyo sio huko matejoo sijui ololoo.
 
Siongelei vibaka, naongelea mfumo wao wa maisha, huwezi ishi nao kama wewe ni wale vijana laini mafuta mafuta lips zinang'aa vibukta vya pink huwez jichanganya nao.
Kwani kujichanganya na watu ni jambo muhimu ikiwa hamfanani? Hata hapo ulipo mtaani kwenu kuna watu huwezi kujichanganya nao.
 
Kwani kujichanganya na watu ni jambo muhimu ikiwa hamfanani? Hata hapo ulipo mtaani kwenu kuna watu huwezi kujichanganya nao.
Lakini most of times mazingira yakinisababisha nikawa kwenye hiyo jamii hawana tatizo na mm, wataniheshimu na huenda wao ndo watajiudjust wasinikere mgeni.

Yaani ni sawa mtu legelege akijikuta gerezani vs mtu wa kawaida asiyedeka wakijikuta gerezani kuna mmoja ikifika saa ya kazi ngumu atateseka mno na akikaa vibaya ataomba asaidiwe.
 
Waachiwe Arusha kule Yao rudi kwenu Kilimanjaro kinachokuweka Arusha Nini?
Mpo nyuma sana ya wakati . Mtu ambaye yupo smart kichwani hawezi kupenda tabia za vijana kama hao.

Kuna UBWEGE MWINGI SANA NA ULOFA KWA VIJANA WA ARUSHA .

Na ndio mkoa wenye historia ya kijana aliyepata hela za Tanzanite akapanda ghorofani na kuanza kurushia watu hela. NI UBWEGE TU
 
Hata kabla ya hao WADUDU nimeona tabia na maisha ya watu wa Arusha muda mrefu tu NI WASHAMBA SANA. Huu ujiuo wa WADUDU ni muendelezo tu wa USHAMBA. Pia suala la kupenga makamasi hadharani na kutema makohozi mbele ya wenzako ni jambo la kawaida sana Arusha inatia kinyaa sana
Hiyo ya kupenga kamasi hadharani i can bet 1000000$ kwamba ulienda kwenye minada ya wamasai huko pembezoni, au uliishi ile mitaa choka mbaya kama olmatejoo,kule ndiyo kuna wale machalii wanaosemaga Arusha ni nchi huru, huku Arusha ninakoishi mimi hao wadudu naishiaga kuwaona kwenye mitandao tu, na juzi niliwaona wakipewa air time ma makonda kwenye tv.
 
Back
Top Bottom