Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hamna jipya mnaishi kizamani mavazi ya kizamani sana, wanawake na wanaume wote mashti ya draftKaribu karne hii mkuu usichoshe ubongo na kumbukumbu za kipindi unakua pengine mjombaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna jipya mnaishi kizamani mavazi ya kizamani sana, wanawake na wanaume wote mashti ya draftKaribu karne hii mkuu usichoshe ubongo na kumbukumbu za kipindi unakua pengine mjombaa
Umeshawai kuona rubega la form six au material ya satin unaowaona na drafts wanadumisha asili yao ya maasai shuka wakiwa maeneo ya changanyikeniHamna jipya mnaishi kizamani mavazi ya kizamani sana, wanawake na wanaume wote mashti ya draft
Hakuna lolote, hayo yote ni script tu ila mtaani hayapo..... kama ni vibaka wapo kila mji.Ila pia Arusha mitaa wanaopatikana hao wanaojiita wadudu ni maeneo katili sana kwa vijana laini laini. Ukiwa mitaa kama kinondoni ukamchukua kijana mmojawapo kati ya wale wanaong'aa lips kwa kuzilamba ukamshusha mitaa ya ngarenaro na sendoz zake na soksi na bukta ataishi kwa tabu mno.
Hahaha you wish. Sadly nimeishi arusha since 90s mpaka juzi juzi hapa. Still my favourite place🤣🤣 Umezeeka anza afya ya akili eti experience mkuu ulikua unakaa maeneo gan ukute ulikua longido au mererani huko unajisifu umekaa arusha na unaexperience eti
Ngenya mtu wangu rudisha ile avatar picha yako flani lialien flani la kutisha limevaa headphonesUnasemaje wenyeji hawana shida nao wakati ujio wa Makonda alipewa angalizo kuwa Arusha kuna wadudu?
Na kwa kufanikiwa kwake kuwamudu tayari imekuwa kipimo cha kukubalika kwake!
Siongelei vibaka, naongelea mfumo wao wa maisha, huwezi ishi nao kama wewe ni wale vijana laini mafuta mafuta lips zinang'aa vibukta vya pink huwez jichanganya nao. Dar ni rahisi kutoka ukiwa hivyo sio huko matejoo sijui ololoo.Hakuna lolote, hayo yote ni script tu ila mtaani hayapo..... kama ni vibaka wapo kila mji.
Kwani kujichanganya na watu ni jambo muhimu ikiwa hamfanani? Hata hapo ulipo mtaani kwenu kuna watu huwezi kujichanganya nao.Siongelei vibaka, naongelea mfumo wao wa maisha, huwezi ishi nao kama wewe ni wale vijana laini mafuta mafuta lips zinang'aa vibukta vya pink huwez jichanganya nao.
Mimi ni mtu wa Mungu sio mtu wako, umechanganyikiwa?Ngenya mtu wangu rudisha ile avatar picha yako flani lialien flani la kutisha limevaa headphones
Ngeeeeeeeenyyyaaaaaaa mbrrr mbrr mbrrrMimi ni mtu wa Mungu sio mtu wako, umechanganyikiwa?
Nashauri panya road nao wakusanywe tuwajue😀Kwahiyo bora panya road?
Lakini most of times mazingira yakinisababisha nikawa kwenye hiyo jamii hawana tatizo na mm, wataniheshimu na huenda wao ndo watajiudjust wasinikere mgeni.Kwani kujichanganya na watu ni jambo muhimu ikiwa hamfanani? Hata hapo ulipo mtaani kwenu kuna watu huwezi kujichanganya nao.
Na atalitumia kwenye mambo yake ya kiharifu?Makonda amelinunua hili kundi
Mpo nyuma sana ya wakati . Mtu ambaye yupo smart kichwani hawezi kupenda tabia za vijana kama hao.Waachiwe Arusha kule Yao rudi kwenu Kilimanjaro kinachokuweka Arusha Nini?
Kiongozi wao ni makonda, wale makapurwa hawanaga kiongozi, huwa wanaongozwa na mazingira yaliyowazunguka kwa wakati huo.Eti wadudu na huyo kiongozi wao nae ni mdudu au ni jongoo?
Nusu ukweli nusu chuki.Arusha wamejaa mapimbi tu pigo za kiboya sana ndio wanahisi wajanja.kazi kuvuta bangi na kukimbilia wazungu
Hiyo ya kupenga kamasi hadharani i can bet 1000000$ kwamba ulienda kwenye minada ya wamasai huko pembezoni, au uliishi ile mitaa choka mbaya kama olmatejoo,kule ndiyo kuna wale machalii wanaosemaga Arusha ni nchi huru, huku Arusha ninakoishi mimi hao wadudu naishiaga kuwaona kwenye mitandao tu, na juzi niliwaona wakipewa air time ma makonda kwenye tv.Hata kabla ya hao WADUDU nimeona tabia na maisha ya watu wa Arusha muda mrefu tu NI WASHAMBA SANA. Huu ujiuo wa WADUDU ni muendelezo tu wa USHAMBA. Pia suala la kupenga makamasi hadharani na kutema makohozi mbele ya wenzako ni jambo la kawaida sana Arusha inatia kinyaa sana