Kunyweni sumu wote mliochukizwa na kazi za awamu ya tano

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Mliochukizwa na ununuzi wa ndege, kunyweni sumu

Mliochukizwa na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kunyweni sumu ya panya

Mliochukizwa na ujenzi wa reli mnywe sumu, mliochukizwa na ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji, mnangoja nini kunywa sumu.?

Mliochukizwa na flyover Dar kwa nini msinywe sumu maana hazitoweki Leo hizo

Ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima, nawashauri mnywe sumu ili msizione maana zinawapa kero

Mliochukizwa na kubanwa kwa wauza ngada, kunyweni sumu!

Mliochukizwa na ujenzi wa hospital ya kimataifa kule chatto mnangoja nini kunywa sumu maana ile hospital IPO tuu miaka na miaka itawakera mno, kwa nini mruhusu presha badala ya kunywa u ili msiione?

Ambao mlichukizwa na ujenzi barabara njia nane ubungo to Kibaha, jamani, hivi nyinyi mnangoja nini kunywa sumu?

Madaraja ya Busisi, Wami n.k, kwa nini mnaruhusu chuki ndani yenu ili hali mnapitia kwenye hizo daraja, kunyweni sumu ili msiyaone tena!

Huo ni ushauri wa buule kabisa!!

La sivyo, mnyamaze na muone kawaida kwa mtanzania mmoja akifanya mazuri tujivunie, hata nyinyi mnazo nafasi za kufanya vizuri!
 
Marehemu hajawahi kuwa na wapambe , nyinyi mnapata wapi ujasiri huo ?
 
Hongera JPM
 
Upotevu wa binadam bila kufikishwa kweny vyombo vya sheria, ni unyama uliooua Legacy ya Yule jamaaa na kwa ukweli wanaomshabikia ni wale ambao wanasilika ya mrengo wa unyama ule ..utawala uliovunja haki za binadam kwa kiwango cha kutisha kabsaa hauwezi kuwa mfano wa uadilifu asilani. Mungu ni Fundi sana!!
 
Mliochukizwa na ununuzi wa ndege, kunyweni sumu

Mliochukizwa na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kunyweni sumu ya panya

Mliochukizwa na ujenzi wa reli mnywe sumu, mliochukizwa na ujenzi wa bwawa la umeme Rufiji, mnangoja nini kunywa sumu.?

Mliochukizwa na flyover Dar kwa nini msinywe sumu maana hazitoweki Leo hizo

Ujenzi wa vituo vya afya nchi nzima, nawashauri mnywe sumu ili msizione maana zinawapa kero

Mliochukizwa na kubanwa kwa wauza ngada, kunyweni sumu!

Mliochukizwa na ujenzi wa hospital ya kimataifa kule chatto mnangoja nini kunywa sumu maana ile hospital IPO tuu miaka na miaka itawakera mno, kwa nini mruhusu presha badala ya kunywa u ili msiione?

Ambao mlichukizwa na ujenzi barabara njia nane ubungo to Kibaha, jamani, hivi nyinyi mnangoja nini kunywa sumu?

Madaraja ya Busisi, Wami n.k, kwa nini mnaruhusu chuki ndani yenu ili hali mnapitia kwenye hizo daraja, kunyweni sumu ili msiyaone tena!

Huo ni ushauri wa buule kabisa!!

La sivyo, mnyamaze na muone kawaida kwa mtanzania mmoja akifanya mazuri tujivunie, hata nyinyi mnazo nafasi za kufanya vizuri!
Nikusahihishe hapo Kweny flyover, Tanzania hatuna flyover. Tuna flying bridge pale tazara na ubungo!! Tembelea hapa jiran Kenya utajua flyover zikoje!!
 
Hatuna sababu za kunywa sumu bali tunaonyesha tuu upigaji kwa wale mliowaaminisha kwamba nyie ni wazalendo na wao wanyonge 😂😂

Hali ya mambo ilikuwa namna hii 👇

Screenshot_20220420-213038.png

Screenshot_20220420-213234.png
 
Hii nchi kwa malumbano[emoji16][emoji16].
huyo keshaondoka na lake halipo mkubali tu ZAMA ZIMEBADILIKA
na nyie wa awamu ya 5 mnayoimalizia jengeni legacy yenu.
 
Back
Top Bottom