mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mabaya yaliyofanyika awamu yake yaachwe yale yote mema yaliyofanyika yaendelezwe !!! Ni hivyo tu !! Jinai huwa haifi waliotenda makosa basi wapelekwe mahakamani !! Matusi na malumbano hayasaidii kitu !!
Upotevu wa binadam bila kufikishwa kweny vyombo vya sheria, ni unyama uliooua Legacy ya Yule jamaaa na kwa ukweli wanaomshabikia ni wale ambao wanasilika ya mrengo wa unyama ule ..utawala uliovunja haki za binadam kwa kiwango cha kutisha kabsaa hauwezi kuwa mfano wa uadilifu asilani. Mungu ni Fundi sana!!