Kunyweni sumu wote mliochukizwa na kazi za awamu ya tano

Hujaelewa kwanini watu waliichukia awamu ya 5, si kwasababu walijenga madaraja, etc, etc, bali ni kwa jinsi walivyokuwa na ubaguzi wa kikabila, uonevu na ukatili mkubwa kwa watu. Kuna watu wengi walidhulumiwa na kuuwawa, wewe unakubaliana na haya? Labda kwasababu za kisiasa na kupenda kujinufaisha binafsi hata kwa kumwaga damu ya wengine. Awamu ya 5 ilikuwa ya kishenzi kabisa.
 
Wanywe sumu? Wakati kidudu mtu keshafariki? Huu ni muda wa kula Bata.
Nyie wenye majonzi yasiyoisha ndio mnywe sumu
... wako eda ya milele hao achana nao! Ole ni wake amtegemeaye mwanadamu!
 
Naongezea, zilianza tangu awamu ya nne
Lipi bora, ni kubaki mipango tuu bila utekerezaji ama kufanyiwa kazi?

Ikiwa ni vibaya mipango ya awamu ya NNE kutekerezwa kwenye awamu tano, kanywe sumu
 
... wako eda ya milele hao achana nao! Ole ni wake amtegemeaye mwanadamu!
Kazi zako zikinigusa na kuwa ni njema na zenye manufaa kwa jamii, nitakupongeza hata ukifa ila stakuabudu kibudu wewe, unanafasi ya kufanya mazuri kuliko hayati JPM kwa kuwa wewe bado u hai, kama huna zuri, acha tujivunie kazi za mwenda zake!

Ukiwa na wivu, kunywa sumu
 

Mbona ndege zilinunuliwa hata kipindi Cha Nyerere awamu ya kwanza. Tusiongee Kama vile Tanzania ilipata Uhuru mwaka 2015.
 
Mbona ndege zilinunuliwa hata kipindi Cha Nyerere awamu ya kwanza. Tusiongee Kama vile Tanzania ilipata Uhuru mwaka 2015.
Sasa mbona unachuki zikinunuliwa awamu ya tano...! Kunywa sumu sasa
 
 

Watu walifanya sherehe baada ya dictator kufa. Uhai wa mtu Ni muhimu kuliko hayo ma mabarabara, unaua watu unajificha kwa kujenga flying bridge ili usifiwe.
 
... yule ambaye mikono yake ilijaa damu? Ndio huyo wa kupongeza? Unapoteza muda wako.
 
Unajua kipindupindu cha ccm kimeuaxwatz wangapi ? Hadi jpm alipo shika nchi na kukikomesha

JPM anatakiwa kushitakiwa kwa mauaji ya been saanane,Azory Gwanda na kushambuliwa kwa Lissu. Bora aliondoka yule muuaji mkubwa. Damu ya Sanane ipo juu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…