Kunyweni sumu wote mliochukizwa na kazi za awamu ya tano

Nikusahihishe hapo Kweny flyover, Tanzania hatuna flyover. Tuna flying bridge pale tazara na ubungo!! Tembelea hapa jiran Kenya utajua flyover zikoje!!
Pia ile ni miradi aliyoianzisha JK, sema mzee JK hataki kujigamba, Ubungo na Mfugale ni kazi ya JK
 
Nyie ndo mnywe sumu ili mkifa mzikwe na mwendazake pumbafu
 
Nyie ndo mnywe sumu ili mkifa mzikwe na mwendazake pumbafu
Sisi tunazipenda kazi zake, sasa kwenu mliochukizwa na kazi zake na bahati mbaya kabisa kazi zake zingine zinadumu hadi kizazi cha tano huko, na nyie hamtaki kuziona, kwa nini Msivywe sumu
 
Hatunywi sumu mkuu. Hatujachukia ila kwa maumivu haya tunafikiria kwenda Burundi kama tulivyoambiwa tuwaachie wenyewe nchi yao!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…