Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Personality ni kila kitu mkuu kuna ke ni golikipa ila wanaboa kama nn sijui,

Mambo ya kazi yaweke pembeni angalia personality ya mtu utanishukuru baadae mkuuuu
 
Wanawake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"🤣

Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"😁
 
Wanwake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"🤣

Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"😁
Mimi naona personalities ndo azingatie
 
Asubuhi yote hiii...... Tunachambuliwa kama karanga za Saida Karori..
Tukifanya kazi makelele kama yote, Tukikaa nyumbani tunaitwa goli kipa..

Tuhurumieni kama sisi tunavyowahurumia
Kumbe ww ni ke ngoja nitupe ndoano yangu
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Kila siku nasisitiza humu, Mwanaume ili uoe lazima uwe na uwezo wa Kuhudumia, Kulinda, Kuongoza na kupiga mashine kisawasawa.

BUT ni bora ukioa Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, na kama atafanya kazi, basi hakikisha wewe ndio Boss wake.

MWANAMKE pekee usiyetakiwa kuoa, hata awe na vigezo gani. Ni yule ambaye amekuzidi umri tu.

Be a Man.
 
Bora kuoa mwanamke sahihi mwenye maadili yake.

Kama unaongelea ubora wa kuendesha maisha, unaweza ukaoa mfanyakazi lakini usione msaada wowote toka kwake. Ukawa na goakeeper lakini akawa mshauri mwema kwako ukapiga hatua za kimaisha.

Ukiongela ubora wa kugongewa, hiyo ni hulka ya mtu haijalishi ni mfanyakazi au mama wa nyumbani. Mwenye asili yake atafanya tu.

Kwa ufupi, ubora wa mke ni tabia zake na sio kuwa kwake na ajira ama kutokuwa nayo.
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Ukijua kusudi lako la Kuoa utajua yupi ni sahihi kwako


Shida za mke WA John haziwez kuwa shida za mke WA mussa

Chagua kwa busara na akil
 
Personality ni kila kitu mkuu kuna ke ni golikipa ila wanaboa kama nn sijui,

Mambo ya kazi yaweke pembeni angalia personality ya mtu utanishukuru baadae mkuuuu
Na kuna anayefanya kazi na huku kazi yake haisaidii chochote nyumba..!!
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Kama una ajira, oa mwanamke asiye na ajira ili akusaidie kulea watoto na kazi za nyumbani.

Kama huna ajira, oa mwanamke mwenye ajoira ili wewe ulee watoto na kumsaidia kazi za nyumbani
 
Back
Top Bottom