Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Sisi wanaume tuliokomaa kiakili tunaoa goalkeaper, japo kuna wengine wanaoaa wafanyakazi kwa sababu ya upendo. Kuna kundi la wanaume wajinga sana wanaoa wafanyakazi kwa sababu ya kusaidiana maisha na mwanamke hawa ni wajinga hawa ndio wanapangiwa na zamu ya kupika na wake zao na ndio hawa kila siku wanalalamika kunyimwa unyumba humu JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Sent using Jamii Forums mobile app