Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Personality ni kila kitu mkuu kuna ke ni golikipa ila wanaboa kama nn sijui,

Mambo ya kazi yaweke pembeni angalia personality ya mtu utanishukuru baadae mkuuuu

Yaap anaweza kuwa na kazi nzuro kweli ila personality mbovu.
Mostly huwa tunaangalia lazi bila kujia personality ya mtu ndio ina determine kama atadumu kwenye hayo mahisiano or not
 
Oa asiye na kazi,asiye na elimu mtoe kijijini Ila awe mrefu asiye jichubua asiwe mwizi Wala tamaa ..asiyegombana na majirani
 
Asiye na kazi ni Mwanamke mwema zaidi

1 Analea familia 24/7 pamoja na mume
2 Ni unfair wao kula Kwa jasho kuzaa Kwa uchungu kunatosha.
3 Nature ya mwanamke hata akipata kazi na mshahara sio nature ya kuhudumia familia utakuta anamtegemea mume tu kwahiyo Bora wa ndani
 
Wanawake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"[emoji1787]

Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"[emoji16]
Comment nzuri hii
 
Nimekunukuu:- "BUT ni bora zaidi ukioa Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, na kama atafanya kazi, basi hakikisha wewe ndio Boss wake".

1. Labda nikuulize wewe ukiwa na binti yako uliyemsomesha mpaka elimu ya juu akapata kazi utamshauri aache kazi awe mama wa nyumbani alee watoto kisa mumewe ana mhudumia?

2. There's tomorrow n' no one knows tomorrow, what if mumewe kazi yake au biashara yake ikifa mahitaji ya familia yatatimizwa vipi japo kwa kiasi ikiwa baba hana kitu na mama goli kipa,uoni kuna mgogoro unaweza tokea, una reference ngapi za wanaume kukimbiwa na wenza wao baada ya kutokuwa na kitu mfukoni wewe ni mgeni wa hilo?

3. Wewe kwa fikra zako hizo unahisi kuna haja ya kumsomesha mtoto wako wa kike kama unaye au kumshauri ndugu yako kumsomesha binti yake au utamwambia binti yako utaolewa tu mumeo atakuhudumia sisumbuki kukusomesha?

4. Mkeo akae nyumbani kwa mshahara wako wa 900k au 1m kuna ubosi gani katika 900k au 1m are you serious?
Una mke, watoto, ulipe ada za watoto, chakula, umeme, maji, ujenzi, gesi, king'amuzi, car fuel, car services, takataka, ulinzi, mikopo, kodi ya nyumba, salary dada wa kazi nk.
Una acha kiasi gani nyumbani 400k,unakaa nyumba nzima ya 100k ipo hiyo nyumba mjini hapa?
Huo mchele tu unaoeleweka 1kg buku 3+ tuwe serious na maisha.

Nb: Charity begins at home...unavyomlea na kumsomesha binti yako ndivyo unavyomuandaa mke wa mtu wa baadae atayechangia maendeleo ya familia yake.
Mungu akuongoze kwenye shughuli zako kijana
 
Kila siku nasisitiza humu, Mwanaume ili uoe lazima uwe na uwezo wa Kuhudumia, Kulinda, Kuongoza na kupiga mashine kisawasawa.

BUT ni bora ukioa Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, na kama atafanya kazi, basi hakikisha wewe ndio Boss wake.

MWANAMKE pekee usiyetakiwa kuoa, hata awe na vigezo gani. Ni yule ambaye amekuzidi umri tu.

Be a Man.
Kwahio mwanamke akmzidi elimu fanya diploma cs Degree na mshahara asimuoe???
 
Nimekunukuu:- "BUT ni bora zaidi ukioa Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, na kama atafanya kazi, basi hakikisha wewe ndio Boss wake".

1. Labda nikuulize wewe ukiwa na binti yako uliyemsomesha mpaka elimu ya juu akapata kazi utamshauri aache kazi awe mama wa nyumbani alee watoto kisa mumewe ana mhudumia?

2. There's tomorrow n' no one knows tomorrow, what if mumewe kazi yake au biashara yake ikifa mahitaji ya familia yatatimizwa vipi japo kwa kiasi ikiwa baba hana kitu na mama goli kipa,uoni kuna mgogoro unaweza tokea, una reference ngapi za wanaume kukimbiwa na wenza wao baada ya kutokuwa na kitu mfukoni wewe ni mgeni wa hilo?

3. Wewe kwa fikra zako hizo unahisi kuna haja ya kumsomesha mtoto wako wa kike kama unaye au kumshauri ndugu yako kumsomesha binti yake au utamwambia binti yako utaolewa tu mumeo atakuhudumia sisumbuki kukusomesha?

4. Mkeo akae nyumbani kwa mshahara wako wa 900k au 1m kuna ubosi gani katika 900k au 1m are you serious?
Una mke, watoto, ulipe ada za watoto, chakula, umeme, maji, ujenzi, gesi, king'amuzi, car fuel, car services, takataka, ulinzi, mikopo, kodi ya nyumba, salary dada wa kazi nk.
Una acha kiasi gani nyumbani 400k,unakaa nyumba nzima ya 100k ipo hiyo nyumba mjini hapa?
Huo mchele tu unaoeleweka 1kg buku 3+ tuwe serious na maisha.

Nb: Charity begins at home...unavyomlea na kumsomesha binti yako ndivyo unavyomuandaa mke wa mtu wa baadae atayechangia maendeleo ya familia yake.
Mkuu uwe na siku nzuri sana leo
 
Wanawake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"🤣

Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"😁
Nikifa ni misingi tu ntakayowawekea na uwekezaji niliouacha mbona humuulizi tukifa wote wakabaki wtt bt all in all God knows everything before and after so kaeni kwa kutulia.

Oa Holi kipa mwenye akili km una mpunga mwingi sababu hta magolikipa wanatofautiana Manula hawezi kuwa sawa na Ahmada wa Azam
 
Uwekezaji? Mkifa ndugu wa mme huwa wanabaki kusumbua sana na kutolea tolea macho chochote kilichopo hawajali hata watoto....

All in all sio vema mtu kukaa bila shughuli kisa tu mme ye anajishughulisha, mfundishe mtu kuvua samaki usipokuwepo asikose mboga (na watoto wako pia) hii ndio point yangu.
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Ukimpenda anayefanya kazi na anakutii MUOE, itakuwa rahisi kusaidiana katika kulea Watoto wenu na labda mpaka wajukuu kama mtawaona.

Suala la kusema Mwanamke mwenye kazi ni ana dharau au ni rahisi kufanya uhuni ni maneno tu hasa ya hapa JF

Mimi nawafahamu wanawake kadhaa walioolewa na hawana kazi kabisa ila ni WAHUNI MNO. Aidha wapo wanaofanya kazi nzuri tu na mishahara mizuri lakini SIO WAHUNI KABISA

Mwisho kabisa Mwombe Mungu akupe mke sahihi Mtiifu.
 
Wanawake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"[emoji1787]

Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"[emoji16]
Unamuoa Mwanamke siku ukiwa mbali unamwambia aende Bank akakuchukulie Bank statement au akujazie form ya mkopo anakuambia Anaogopa au ana mwandiko mbaya [emoji23]

Hapo kupata maendeleo kutachukua muda sana
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Zote mbili sio sifa za mke bora.
Wetafuta mke bora na mwenye utii kwako.
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
mwanamke hatakiwi kufanya kazi, shida tu ndo zinaleta hayo
 
Back
Top Bottom