Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Akilazwa ndani mwezi mmoja yupo tayari lambalamba wamlambieWanwake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"🤣
Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"😁
Nina uzoefu mzuri sana. Unaweza kuoa mwanamke ''golikipa'' na ukamgeuza kuwa mfanyakazi/mjasiriamali mzuri mno mno. Hivyo hakuna jibu la moja kwa moja. Jibu ni kwamba jitihadi upate mwanamke mwenye sifa zinazostahili. Na zaidi unaweza kuoa mwanamke mfanyakazi lakini asipokuwa na sifa za kuwa mke bora ukaishia kujuta. Hivyo nakushauri kama hujaoa zingatia sifa bora na siyo shughuli anayofanya. Shughuli anayofanya ni ''entity'' inayoweza kubadilishwa lakini ''sifa bora'' inaweza kuwa entity ngumu kurekebishika.Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Oya we jamaa unanijazia notification kulePersonality ni kila kitu mkuu kuna ke ni golikipa ila wanaboa kama nn sijui,
Mambo ya kazi yaweke pembeni angalia personality ya mtu utanishukuru baadae mkuuuu
Nimekunukuu:- "BUT ni bora zaidi ukioa Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, na kama atafanya kazi, basi hakikisha wewe ndio Boss wake".Kila siku nasisitiza humu, Mwanaume ili uoe lazima uwe na uwezo wa Kuhudumia, Kulinda, Kuongoza na kupiga mashine kisawasawa.
BUT ni bora zaidi ukioa Mwanamke atakayekaa nyumbani na kulea watoto wako, na kama atafanya kazi, basi hakikisha wewe ndio Boss wake.
Be a Man, be responsible.
Duh embu dadavua zaidi hapa, changamoto huwa ni Nini?MWANAMKE pekee usiyetakiwa kuoa, hata awe na vigezo gani. Ni yule ambaye amekuzidi umri tu.
Haya ndio maneno ya kiume hasaNina uzoefu mzuri sana. Unaweza kuoa mwanamke ''golikipa'' na ukamgeuza kuwa mfanyakazi/mjasiriamali mzuri mno mno. Hivyo hakuna jibu la moja kwa moja. Jibu ni kwamba jitihadi upate mwanamke mwenye sifa zinazostahili. Na zaidi unaweza kuoa mwanamke mfanyakazi lakini asipokuwa na sifa za kuwa mke bora ukaishia kujuta. Hivyo nakushauri kama hujaoa zingatia sifa bora na siyo shughuli anayofanya. Shughuli anayofanya ni ''entity'' inayoweza kubadilishwa lakini ''sifa bora'' inaweza kuwa entity ngumu kurekebishika.
Ule uzi una kamba nyingi sana mno usikubali kila kitu sisi wanaume tunapenda sifa sana na kujiona tunafanya sana ngono na wanawake mbalimbali..USITHUBUTU KUOA MFANYAKAZI KAMA UNA BISHA NENDA ULE UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA.
HATA KAMA KATULIA IPO SIKU ATATOA MECHI TU.
KUNA BOSS WAKE KUTAKA KUMPANDISHA CHEO,KUNA ZILE SAFARI ZA PERDIEM AMBAZO ILI AZIPATE LAZIMA AMPE TUNDA BOSS
OA MWANAMKE ASIYE NA KAZI THEN MFUNGULIE OFISI/KAMPUNI AU BIASHARA YAKE AWE BOSS.
TENA USITHUBUTU KUOA MWANAMKE SIJUI AFISA KILIMO SIJUI KWENYE HALMASHAURI NA OFISI ZA WAKUU WA WILAYA NA MIKOAA
WANACHAPWA MNO
Kitu ikiwa complete kunaraha yake.Oa mwenye morphology
Nipe heshima yangu wewe...Kumbe ww ni ke ngoja nitupe ndoano yangu
Mwanamke hawezi shindwa kuishi hata kama mwanaume akifa. Mwanamke akitunzwa ubora wake hautafifia na hatokosa mtu wa kumpenda ikiwa mume hatokuepo tujitahidi kuwatunza.. na ikiwa mtaachana mwanamke kuchukua asilimia 50 ya Mali au robo ni haki yake ili ajiendeshe kwa maisha yajayo haijalishi yeye ana kazi au la.. ila mwanamke asiefanya kazi ni bora zaidi kuliko anaefanya kazi.. jukumu la mwanamke hasa akiwa na familia ni kumtunza mume na kusimamia malezi ya watoto ipasavyo pamoja na Mali kiujumla wakati huo jukumu la mwanamume ni kutafuta Mali,fedha,rasilimali kwa ajili ya familia husika... ila angalizo mwanamke ninaemzungumzia hapa ni yule ambae umetoka nae zero mpaka kupata ulichopata ana haki nacho tuache unyanyasaji wanaumeWanawake huwa tuna viswali flani vya kijinga japo vina maana pia ni fikirishi na vyenye ubinafsi kwamba twajua me ndio atatangulia....."ukifa mie na watoto tutaishije"[emoji1787]
Usifurahie mkeo kukaa ndani tu na kuita jina la kejeli eti goli kipa "ukifa ataishije"[emoji16]
Mmmh unaetafuta nae from zero ukivipata unamuona haendani na mali zako🤣🤣 unatafuta mtoto namba E wa kutumbua nae maliMwanamke hawezi shindwa kuishi hata kama mwanaume akifa. Mwanamke akitunzwa ubora wake hautafifia na hatokosa mtu wa kumpenda ikiwa mume hatokuepo tujitahidi kuwatunza.. na ikiwa mtaachana mwanamke kuchukua asilimia 50 ya Mali au robo ni haki yake ili ajiendeshe kwa maisha yajayo haijalishi yeye ana kazi au la.. ila mwanamke asiefanya kazi ni bora zaidi kuliko anaefanya kazi.. jukumu la mwanamke hasa akiwa na familia ni kumtunza mume na kusimamia malezi ya watoto ipasavyo pamoja na Mali kiujumla wakati huo jukumu la mwanamume ni kutafuta Mali,fedha,rasilimali kwa ajili ya familia husika... ila angalizo mwanamke ninaemzungumzia hapa ni yule ambae umetoka nae zero mpaka kupata ulichopata ana haki nacho tuache unyanyasaji wanaume