Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Personality ni kila kitu mkuu kuna ke ni golikipa ila wanaboa kama nn sijui,

Mambo ya kazi yaweke pembeni angalia personality ya mtu utanishukuru baadae mkuuuu

Yaap anaweza kuwa na kazi nzuro kweli ila personality mbovu.
Mostly huwa tunaangalia lazi bila kujia personality ya mtu ndio ina determine kama atadumu kwenye hayo mahisiano or not
 
Oa asiye na kazi,asiye na elimu mtoe kijijini Ila awe mrefu asiye jichubua asiwe mwizi Wala tamaa ..asiyegombana na majirani
 
Asiye na kazi ni Mwanamke mwema zaidi

1 Analea familia 24/7 pamoja na mume
2 Ni unfair wao kula Kwa jasho kuzaa Kwa uchungu kunatosha.
3 Nature ya mwanamke hata akipata kazi na mshahara sio nature ya kuhudumia familia utakuta anamtegemea mume tu kwahiyo Bora wa ndani
 
Comment nzuri hii
 
Mungu akuongoze kwenye shughuli zako kijana
 
Kwahio mwanamke akmzidi elimu fanya diploma cs Degree na mshahara asimuoe???
 
Mkuu uwe na siku nzuri sana leo
 
Nikifa ni misingi tu ntakayowawekea na uwekezaji niliouacha mbona humuulizi tukifa wote wakabaki wtt bt all in all God knows everything before and after so kaeni kwa kutulia.

Oa Holi kipa mwenye akili km una mpunga mwingi sababu hta magolikipa wanatofautiana Manula hawezi kuwa sawa na Ahmada wa Azam
 
Uwekezaji? Mkifa ndugu wa mme huwa wanabaki kusumbua sana na kutolea tolea macho chochote kilichopo hawajali hata watoto....

All in all sio vema mtu kukaa bila shughuli kisa tu mme ye anajishughulisha, mfundishe mtu kuvua samaki usipokuwepo asikose mboga (na watoto wako pia) hii ndio point yangu.
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Ukimpenda anayefanya kazi na anakutii MUOE, itakuwa rahisi kusaidiana katika kulea Watoto wenu na labda mpaka wajukuu kama mtawaona.

Suala la kusema Mwanamke mwenye kazi ni ana dharau au ni rahisi kufanya uhuni ni maneno tu hasa ya hapa JF

Mimi nawafahamu wanawake kadhaa walioolewa na hawana kazi kabisa ila ni WAHUNI MNO. Aidha wapo wanaofanya kazi nzuri tu na mishahara mizuri lakini SIO WAHUNI KABISA

Mwisho kabisa Mwombe Mungu akupe mke sahihi Mtiifu.
 
Unamuoa Mwanamke siku ukiwa mbali unamwambia aende Bank akakuchukulie Bank statement au akujazie form ya mkopo anakuambia Anaogopa au ana mwandiko mbaya [emoji23]

Hapo kupata maendeleo kutachukua muda sana
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Zote mbili sio sifa za mke bora.
Wetafuta mke bora na mwenye utii kwako.
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
mwanamke hatakiwi kufanya kazi, shida tu ndo zinaleta hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…