Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

Me nitaoa golikipa mwanaume nikitoka kazini nimkute mke yuko nyumban tayari kwaku niudumia sio mwanamke unampigia sim anakwambia nipo kwenye kikao cha kazini narudi saa 3 usiku mara nimeamishiwa kitengo nitaenda morogoro mara sijui nini..

Wanaume wenzangu zawadi pekee ya thamani ya kuiachia familia yako ni nyumba (makazi) kwaiyo tafuteni pesa nunueni viwanja jengeni

Hao wanawake wafanyakazi mnao wanadi mkifulia pesa zao hua ni chungu sana kuzitumia mtasalitiwa sana nakua wadogo kama piriton

Ata ukifa leo na umewaachia wanao nyumba tayari wew ni shujaa uyo mwanamke wako ukidanja atapata mchumba na ataenda kwa mwanaume mwengine na kama hujaacha nyumba ata wapeleka watoto kwa ndugu zako au wake.

Your house your legacy chakula ata ndege hupata chakula.
 
Sasa mimi nikishakufa, yaduniani yananihusu vipi? Kila mtu na ashinde mechi zake!!!
 
Hata mie naomba Kwa Mungu nipate mume aliyenipita umri unaenjoy
 
Mwanamke ambaye Hana kazi unaweza kumtawala na pia anaheshima ila sio right , lazima mke awe na vitega uchumi , na ajishughulishe at least akiwa mama wanyumbani awe ni amesomea kitu na aweke akiba sio kila siku ukiamka ni siku
 
Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi
Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?
Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau
najua wengi wenu mnauzoefu .
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️

Jukumu kubwa la mwanamke ni kutoa utelezi,nani aliyekwambia kwamba mama akiwa nyumbani siyo mfanyakazi? Kama akiwa ameajiriwa kazi za nyumbani atafanya nani? Huwa nachukia wanaosema kwamba kuna mwanamke golikipa ,mimi binafsi sipendi mke wangu afanye kazi za kuajiriwa labda ajiajiri mwenyewe.
 
striker atakufanya ushinde mechi ila Golikipa atakupa ubingwa
 
Nipo ndugu yangu, bize na kuandaa Rasilimali ambazo hata nikifa wifi ako asijiulize ataishije!

Mana wajane kwenye misiba hulia na kugaragara kwa mengi.
Na ukiona mjane analia anagalagala ujue mambo si mambo, ila akilia huku kavaa miwani nyeusi na kitambaa mkononi jua mambo yapo kwenye mstari
 
Mwanamke ni PAMBO la ndani tu, wewe kwanini unataka kuoa PUBLIC FIGURE? Huyo atakua mke wenu sio wako peke yako, usije kulaumu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…