Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Msimamo wangu uko palepale lazima nioe mwanamke BIKRA , ukiona nipo na wewe mwanamke na hauna bikira sahau tu mm kuwa mumeo nitakulala nikikuchoka na badili chombo
Aliyebuni bikra za kutengeneza aliona wajinga kama wewe ni wengi mno..

Jimwambafu tu baada ya kubikiri mwanamke mwenye bikira feki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chai
 
Una uthibitisho wowote kuwa mtoa mada ni malaya?
 
Una uthibitisho wowote kuwa mtoa mada ni malaya?
Mara nyingi Malaya ndio huwa wanapatwa na makasiriko sana na kutoa kauli za dharau kwa wanaume ambao wanapendelea kuoa mwanamke bikra na sio wao.

Wewe unafikiri mwanamke decent ambaye Hana vinasaba vya umalaya anaweza akaandika Uzi wa kishenzy kama huu kukashifu machaguo ya watu??

Malaya huwa wanajulikana tu hata kupitia maandiko yao, kwanza wanakuwaga wamepinda sana hata kauli mbovu mbovu kwao ni za kufikia tu....
 
Mimi namjua Bi Zandile, na mumewe ninamjua pia tupo naye hapa hapa jf, huyo bibie hayupo kama ulivyomtuhumu na ndio maana nikakuuliza kama una uthibitisho hata wa kumkaza tu katika umalaya wake kwa kuwa ni malaya.

Baada ya kutoa jibu lako nimebaini wewe ndiye malaya na umedanganywa sana tu na malaya wanunuzi wa bikira za mchina..

Punguza makasiriko kijana baada ya kupondwa za uso na Bi Zandile hadi ukaamua kumuweka kwenye kundi la malaya ilhali hujui na wala huna uthibitisho kuhusu umalaya wake.

Gentleman hawezi kuwa na makasiriko kama yako.
 
Uwe na adabu kwa mke wa mwenzio, kumfananisha na kahaba umewaza kijinga mno, hivi hujui hata rais wako ana sifa zote za Bi Zandile, je naye ni kahaba? Ikiwa jibu lako ni ndiyo basi bado hujafikia age ya kuwa mtu mzima
Huna akili na ndio mana umeleta mfano wa Rais,kwanini usilete mfano wa dada yako?

Mwanamke aliyeolewa bila bikra huyo ni kahaba tu
 
Kunywa au mwaga.

Mwanamke hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa bikra
Nenda tena kwenye kijiwe chako cha kunywa ulanzi utuletee kisa kingine cha mlevi mwenzio kibibi mlevi akibwabwaja kutomsahau aliyembikiri 😁

We bado kinda japo unakunywa na kulewa ulanzi....

Gentleman hunywa mtori wa moto na sio kujisifia kuoa na kubikiri mademu bikira.

Wewe na huyo kibibi chako kilevi nyote ni mafala tu 😁😁
 
Siku zote Gentleman ni mwanaume dhaifu Kwa mwanamke.
 
Sasa hao waliowatoboa c ndio wakaolewe nao?
Yale yalw unaoa kumbe jitu linamkubali x wake aliyemzindua. Msitupangie.
Hakuna anayekupangia we oa tu, kama hutaki kuoa walitobolewa utakutana na wengine walitobolewa ila waka renew papuchi kwa kununua bikira za dukani..

Ukiwapata hao Ke wajanja wa mjini utarudi hapa kijimwambafu kuwa umeoa Ke bikira ilhali demu hajui hata idadi ya walomkula kabla haja renew papuchi na kuolewa naweπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…