Kuoa mwanamke masikini

Kuoa mwanamke masikini

Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Oa Mwanamke
 
Mwanamke akiwa na ;

1: Tako
2: Rangi ya andazi
3: Macho ya kurembua
4: Mguu na pale kwenye joint za goti kwa nyuma kueleweke
5:nywele za asili, ( siyo kipilipili)
6:kipochi manyoya chenye utelezi wa kutosha, joto na kufinyia kwa ndani
7: Tabia njema

Huo ni utajiri tosha tofauti na hapo achana nae atakurudisha nyuma
 
Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Khee so sisi masikini tusiolewe
 
........wengi wetu huwa tunadhani vigezo vibayan ktk kuchagua mwanamke ni shepu na sura tu, lakini pia wengi wetu tunadhani kwamba kuoa mwenye kazi au elimu kubwa ndo ujanja, wengi wetu huwa tunadhani taasisi ya ndoa inaendeshwa kidini ndio maana ndo upendo ndani ya ndoa umekufa kwa sababu ya kuchaguana kwa itikadi za kidni, wengi wetu huwa tunadhani ndoa ni taasisi ya kiuchumi ndo maana upendo haupo tena coz watu wanachagua business partner badala ya love partner, wengi wetu hudhani.......endeleza comment hii kwa kuanza na neno wengi wetu hudhani.........
Bravo mkuuu👑
 
Niko na mawazo yako, ila naongezea uelewa hapo.
Maskini kabisa na mwenye uwezo wa kati wana uelewa tofauti kutokana na kwao walitokaje.
Mara ya mwisho naachana na demu maskini alicarry somo akarudia semester nzima ila wazazi wake wakagoma kumlipia na wakagoma kumlipia kila kitu sijui kodi na matumizi.

Niliachana naye alipomaliza masomo yake, haikuniingia akilini niwe na mtu wazazi wake wamemtupa vile. Na bado akili yake ilikuwa ina umaskini ndani yake, na akaanza kupenda hela kuliko mapenzi yenyewe.
Nikajiachia na mtu ninayejua kuhusu hela haihusiki, hata kama natoa ila sio niwe na mtu naogopa hata kumwambia plans zangu asijue nina hela kiasi gani asije zalisha shida za kutosha. Unakuwa na mtu unaogopa hata kumsimulia habari njema ulivyopata deal fulani la hela
Yaah kabisa mkuu kuna madem wako hivyo. Hata ukipa dili kumwambia huwezi maana yeye atawaza mgao wake hapo.
Ila wapo wale ukimwambia dili lako atakuombea tu upate mafanikio zaidi.
 
Mdoa ni darasa na maisha pia so kwanza omba mungu akupe mwenza mwema na yule ambaye unamahitaji nae, pili swala la kutaka kumpata mwanamke ambaye anamaisha mazuri huo ni uzuzu tu cos anaweza akawa ni mpambanaji halafu asiingie kwenye mifumo yako ya utafutaji na ukapata mwanamke mwenye maisha mabovu akaingia kwenye mifumo ya maisha yako mpaka ukahisi unalogwa kumbe anafanya yale uyapendayo.

So kikubwa muombe mungu tu ipo hvyo.
 
Kwaiyo unataka aje na Godoro kitanda na vitu vyengine vya ndani?
Godoro?
Kitanda?
Glass?
Really?

Asante kwa hii comment yako mkuu!
Hakika Mungu hutukumbusha mema alotutendea kwa namna za ajabu.

Naamini mtoa mada anamaanisha mwanamke aliyejijengea misingi yakujipatia kipato chake.

Sema usipomuelewa mtoa mada unaweza kudhania ni mario anataka kulelewa ila sivyo.

Naamini mtoa mada yuko.vizuri kifedha ila hataki mwanamke asiye na chochote zaidi ya kei.

Na nijuavyo,kwa sasa wanaume wengi wenye pesa zao wanawakwepa wanawake masikini.

Mwanamke masikini kwanza huwezi kujua siku ukifilisika au siku akapata hela atakuaje lakini kama mwanamke tayari anazo na akakupenda na kukuheshimu unajua kabisa ana mapenzi ya kweli kwako.

Pia wanawake masikini wengi ni.washirikina na wanafundishana maujinga.
 
Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Na siku mmezinguana nae anataka Mali 50/50 maaamae..![emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa hio wote mnatakiwa muwe nacho au unamaanisha mfananeje nikiwa na Gari na wewe utembelee gari la kwako tukutane kwenye five star hotel
Ndio. Wote mnatakiwa muwe nacho kwa nilivyomuelewa mtoa mada kama nimekosea atanirekebisha.
 
Back
Top Bottom