Single mums ni waelewa na wanajua kuhandle, pengine ni kwakua washaona na washafanya kila kitu kwenye mahusiano.

Mshikaji wangu wa tangu sekondari ni case study namba moja mimi case study namba mbili na Diamond ni case study namba tatu.
 
Let’s face it, guys, a pretty face and a great body seem to have the
magic to dumb you down. You make assumptions about pretty
women that ain’t necessarily true. While the biological drive for men
to pick attractive women with wide hips may have some relevance
to suggesting superior health and fertility, projecting your genes into future generations isn’t the
only consideration in human life: mental health, personality, and
character are more important to the quality of your life in your own
generation.


nimekopi sehem kama ilivoandikwa
 
ANAYEONGEA HAYA NI MSICHANA SASA SIKU UKIPEWA MIMBA UKAKIMBIWA SIJUI UTASEMAJE
 
Hivi wewe umezaliwa au umejizaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ni kwanini akawa Single mother?

Kama hujui na ukaandika hivyo kwa kuwajumuisha wote basi tutakuona wewe ni Mvulana bado.

Je kama alibakwa na kuachiwa ujauzito kisha mbakaji akatokomea mazima.

Ni bora mara 1000 Single mother umjuaye kuliko vibinti vidogo vilivyotoa mimba haswa na visivyojielewa.

Siamini kwamba Single mothers wote ni wabaya.
 
Hivi uaanzaje kuvuna kwenye shamba lililokwisha vunwa na wanaume mwezio kama sio kwenda kuambulia mabua tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto waliozaliwa kutoka baba au mama tofauti wana ubora/ hali tofauti? Mpaka imetokea kuwa na mahusiano naye, ujue kuna hisia kati ya wahusika ambao hazikuwa na ubaguzi (prejudice) yoyote. Hiyo ya Kwamba kashazaa au la, ni mambo yanayokuja baadae, ila la kwanza ni hisia za kuvutia kati ya wahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wana fikra kwamba single mom ndio wanaongoza kutembea na wanaume wengi wanasahau kuwa mimba huingia siku Moja tu halafu single mom muda mwingi anautumia kulea mtoto au watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…