Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Madogo mmekuja maofisini mnavuruga michongo kisa sifa za kijinga kama hizi.

Maisha yanahitaji adabu.Mnaiba sana mnashindwa kula na vipofu hao unaowaona wakongwe wameishi maisha hayo ya kula na vipofu bila tabu.

Mmekuja nyie kunguni mnavuruga utaratibu kisa MISIFA YA KIJINGA saivi dili zimekuwa ngumu.Mtaishi kwa tabu sana punguzeni ujuaji bladiful shwaini nyie🤔
 
huyo jamaa badala akang'oe watu meno yupo anajifanya na yeye MC😄😄😄

📌Kweli wajinga ndio waliwao!!!
Yaaan mzee baada ya kukua ndo nimekuja gundua ishi maisha yako na siyo kumfurahisha mtu maake gharama zake ni nyingi mwisho wake ni aibu 😂

Ndo utakuta mtu anataka expensive life ndo vijana wanapoteza utu kudate sjui ndo kulelewa na mishangazi wengine nasikia wanaume km mabinti kaazi kweli kweli 😂
 
MKILIPA HIZO HELA HAKIKISHENI MNAWAMILIKI MPAKA MIX THEIR NYASH!!!

📌WAO SI WANAJIUZA WANUNUAJI MUWATUMIE KWELIKWELI.WARARUENI HAO MALAYA🤗🤗🤗
Washamba sana wanafikiri nashindwa kuzaa randomly km ishu ni watoto? Lkn tunahitaji tuwe na watoto wa vinasaba vya baba mmoja na mama, plus maadili

Hatushindwii kuenda km wanavyotaka

Kwakua sisi ni kichwa inabidi waishi tunavyo taka sisi na sio wao?
 
📌📌Tunapiga MARUFUKU HIZI TABIA ZA KISHENZI NA KITAPELI.

VIJANA BADILIKENI HAYO MAISHA YA KUIGIZA KWA SIKU MOJA ACHENI.MNAFAKE SANA MPAKA INAKUWA TOOO MUCH SASA.


📌MAISHA YA NDOA BILA UHALISIA,HIYO NDOA HAIWEZI KUDUMU.
 
kua maskini ni kitu mbaya sana,

yaani kuchangia laki2 au laki5 mtu anaejiskia uchungu utadhani nini sijui,

huna mchango sema wazi huna, sio kuahidi kinafiki na kushauri mambo ambayo ni ni wazi ni mbinu ya kukwepa kuchangia harusi 🐒
 
Huu utaratibu mtu huna hata baiskeli alafu siku ya harusi mnaenda kukodi JEEP ndo iwe gari ya harusi🤣🤣🤣🤣

Ukimaliza harusi lazima ujitukane🤣🤣🤣🤣.Alafu wanakamati wala hutawaona🙌🙌🙌kukusaidia unakufa mwenyew kisabuni maninaaaa.

📌📌Vijana wanaaibika sana huku mitaani.
 
kuchangisha harusi nje ya family members hiyo ni irresponsible behavior, it amounts to a FRAUD, pia ni ni ushamba, how can you raise public funds for your simple personal obligation, this culture IS DISGUSTING
Exactly my son!
 
Na hii maada wanaotoa. sumu wanawake


Utasikia siolewi bila sherehe kisa aonekane alifanya kitu au kukomoana,

Ushenzii mtupu 😂 😂

Unafanya sherehe huna pakulala sii uduanzii huo 😂
 
Kama humpendi utaona ni nyingi mbona mobeto katolewa 30m
wewe ulikuwepo wanapoksbidhiwa au unaleta hapa habari za kwenye mitandao ya udaku.

Hivi mtu mwenye akili timamu unatoaje mil 30 kwa SCRAPER KAMA hiyo imebomolewa na wajinga wajinga na wahuni.Hivi kama sio ukosefu wa kujielewa na kujiheshimu ni nini???!!!!
 
Unasikia demu ety

Babe mkanda huu asiufungue mwingine

Mara viatu hivi ,, sijui saa hii aseeh 😂 😂...... Ngekuwa muumini wa sherehe naweza goma kuchukua hivo vitu
 
Tdfuta hela usilalamike eh
 
Na hii maada wanaotoa. sumu wanawake


Utasikia siolewi bila sherehe kisa aonekane alifanya kitu au kukomoana,

Ushenzii mtupu 😂 😂

Unafanya sherehe huna pakulala sii uduanzii huo 😂
HAO MBUZI WA HIVYO NI MASKINI,YAANI MASKINI AMBAO WANATEGEMEA MAHARI NDO IWAPANDISHE STATUS😄😄

📌📌HAO MALAYA WAKATAFUTE WAJINGAWAJINGA NDO WAWAAMBIE HUO UPUUZI MWANAUME ANAYEJIELEWA AKIKUONA UNAELEMENT ZA KIMALAYAMALAYA NI KUBUTUA NA KUJIKATAA!!!
 
Asante studio wanakarir maisha ya mjini TikTok......


Mm namkubali gigy money tuu, wengine njaa zinawasumbua na bragging kibao
 
Huu ushenzi wa kuomba michango ya harusi umefika mpaka kwa wabongo wa Ulaya
Kwa vile tunakutana park jioni au pub wikiendi, unashangaa unapewa kadi ya kuchangia harusi, mtu mwenyewe hata hamjuani kivelee.....
Ni upumbavu wa akili kuomba watu hela ya kwenda kuoa, na kwanza ni aibu sana.....
 
Asante studio wanakarir maisha ya mjini TikTok......


Mm namkubali gigy money tuu, wengine njaa zinawasumbua na bragging kibao
📌HAO WAJINGA FILTER ZINAWAZUZUA😄😄😄KUTANA NA HIYO MISUKULE LIVE UTACHOKA MWENYEW🤝
 
Oyaah brother na uchagaa huu sitoi kitu ariiiifuu 😂


Mtu sio bikra, keshapigwa finga side zote afu ety unajua huna hela Mara nimesoma academy

Ko aliambiwa i will come to refund her school fees paid during her school time au matunzo


Akadange tuu tununue tujue 😂
 
Wakataeni hao masikini waambieni waache uswahili na utapeli.

📌📌MTU TIMAMU NA RESPONSIBLE LAZIMA AWE NA UWEZO WA KUJIHUDUMIA NA KUJIGARAMIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…