missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 341
- 409
Muwe mnajiandaa.Mkinitumia sms za kihuni kudai michango naamsha kichaa.Sijamaliza ada za wajukuu wangu.Acha vijana waoe bana,tutawachangia,nyie bakini na hela zenu za mawazo mjifungie ndani mle na familia zenu
Kijana wanguNa yote wanakuchagua mwenyekiti wakamati
Kama hutaki kumsapoti mtu unakaa kimya tu,kwani amekulazimisha?au kakushikia panga umsapoti?Na kila kukicha harusi zinazidi kuwaka moto. Kuna mwezi nilijikuta nipo kwenye magroup 4 ya harusi. Nikasema hell No.
Kwani wamekushikia panga lazima utoe hio pesa yako uwape?na kwani utawapa mamilioni kiasi kwamba upatwe na kichaa?zaidi ya hio elfu 50 au 30 ya mawazo π€Muwe mnajiandaa.Mkinitumia sms za kihuni kudai michango naamsha kichaa.Sijamaliza ada za wajukuu wangu.
Wawe wapole.Mwenzi ni wako na mna muda wa kujiandaa.Mimi mnialike nije kunywa maji na kuleta zawadi siyo mchango.Kwani wamekushikia panga lazima utoe pesa yako uwape?
Huko ulipo wanakushikia bunduki utoe hio elfu 30 au 50 yako?ukitaka wape mchango,usipotaka usiwapeWawe wapole.Mwenzi ni wako na mna muda wa kujiandaa.Mimi mnialike nije kunywa maji na kuleta zawadi siyo mchango.
Alafu ndani ya miaka michache ndoa yenyewe inakufa hadi mtu aliechanga anasikitika kwa kuona pesa yake imeenda bure!!kuchangisha harusi nje ya family members hiyo ni irresponsible behavior, it amounts to a FRAUD, pia ni ni ushamba, how can you raise public funds for your simple personal obligation, this culture IS DISGUSTING
unajikuta upo kwenye kamati ya next weeding mwanamke aliye achika na ulihusika kwenye wedding aliyoachika, (unachangia event za harusi mbili kwa same person) πAlafu ndani ya miaka michache ndoa yenyewe inakufa hadi mtu aliechanga anasikitika kwa kuona pesa yake imeenda bure!!
Kitu unachoita "ushamba" ndicho nakufundisha ujue kujitegemea kwenye mambo yako.Yani unataka tukununulie utamu wewe uwe mpigaji tu.Nooo!Jifunze kujitafutia vya kwako.Ndiyo ninyi mnaoa halafu mnataka kuishi kwangu nikutunzie na mkeo kwa udumavu wenu wa akili.Kama mnashindwa kujiandaa mbaki nyumbani msaidiane na mama zenu kutwanga mahindi.Huwa sina maneno matamu mkuu.Huko ulipo wanakushikia bunduki utoe hio elfu 30 au 50 yako?ukitaka wape mchango,usipotaka usiwape
Nenda kanunulie watoto wako viatu vya shule au ule na familia
Mtu mzima kuja hapa kulia lia mitandaoni kisa elfu 30 au 50 ni ushamba wazee
kushamiri, maana yake ndoa zitaendelea kufungwa regardless ya kupungua kwa hiyo michango ya kijinga, mbona majority they do without that hizo parasitic and corrupt arrangementkivipi, wakati watu watapunguza bajeti za sherehe?
Tafuta hela wewe kama ndoa tu tukio.la siku moja unaona .gharama na kuogopa madeni je kuishi na mke maisha yote ?Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Kwa mwanamke yupi hawa kina mis natafuta?Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Ukiwa maskini wa hela ,maskini wa mahusiano na ndugu,marafiki majirani nk.lazima uwe na vimisimamo vya kijinga kama huu ulioandikakushamiri, maana yake ndoa zitaendelea kufungwa regardless ya kupungua kwa hiyo michango ya kijinga, mbona majority they do without that hizo parasitic and corrupt arrangement
Mwanaume unalia kisa mdau wako kukutaka utoe kwa hiari na si kulazimishwa elfu 30 au 50?π€wewe siku ukitoa laki si utapiga ukunga?πKitu unachoita "ushamba" ndicho nakufundisha ujue kujitegemea kwenye mambo yako.Yani unataka tukununulie utamu wewe uwe mpigaji tu.Nooo!Jifunze kujitafutia vya kwako.Ndiyo ninyi mnaoa halafu mnataka kuishi kwangu nikutunzie na mkeo kwa udumavu wenu wa akili.Kama mnashindwa kujiandaa mbaki nyumbani msaidiane na mama zenu kutwanga mahindi.Huwa sina maneno matamu mkuu.
Vijana wa 90's to 2000s have got some probs!Nimekueleza kwa wema bado unaandika mambo kilemavu.I've got nothing to help the lunatic!Mwanaume unalia kisa mdau wako kukutaka utoe kwa hiari na si kulazimishwa elfu 30 au 50?π€wewe siku ukitoa laki si utapiga ukunga?π
Inaelekea una njaa kali sana jamaa,ungekua una chochote kitu huwezi toka povu hivi kwa elfu 30 au 50
Ni bora umfuate umuambie tu huna
Ndoa na gharama zake waachie Wenye mambo yao,wewe pesa yako kanywee bia tu π
watu wataendelea kufanya mambo yao na yataenda bila hio elfu 30 yako Mkuu.
hata ingekuwa 1000/- hizo ni scam tu, remember you become financially secure by serving not earning and misusing own funds just to impress people like uMwanaume unalia kisa mdau wako kukutaka utoe kwa hiari na si kulazimishwa elfu 30 au 50?π€wewe siku ukitoa laki si utapiga ukunga?π
Inaelekea una njaa kali sana jamaa,ungekua una chochote kitu huwezi toka povu hivi kwa elfu 30 au 50
Ni bora umfuate umuambie tu huna
Ndoa na gharama zake waachie Wenye mambo yao,wewe pesa yako kanywee bia tu π
watu wataendelea kufanya mambo yao na yataenda bila hio elfu 30 yako Mkuu.
Daah mzee mbona kiingereza sana alafu unatokwa povu kwa kuambiwa uchangie elfu 30 ππVijana wa 90's to 2000s have got some probs!Nimekueleza kwa wema bado unaandika mambo kilemavu.I've got nothing to help the lunatic!
hawa vijana wanatumia occipital lobe ya brain(ubongo wa kichogoni) badala ya prefrontal cortex for critical thinking πVijana wa 90's to 2000s have got some probs!Nimekueleza kwa wema bado unaandika mambo kilemavu.I've got nothing to help the lunatic!
Kuna wenzio wenye uwezo wa kutoa,wewe kama hutaki si unabaki na hio 1000 yako.kwani huko ulipo hua wanakulazimisha π€hata ingekuwa 1000/- hizo ni scam tu, remember you become financially secure by serving not earning and misusing own funds just to impress people like u