Mtu anayejielewa anayesoma CPA hawezi kubali kufundishwa na mtu asiye na CPA1. Kwanza sio lazima kusoma cpa ukasome kwenye tuition centres. Sio lazima.
2. Kwa kua sio lazima kufanya mitihani ya cpa uwe mwanafunzi wa centre hoyote, unaweza kusoma popote ama ukajisomea mwenyewe.
3. Usipende kutoa majibu ya jumla jumla' generalization syndrome'. Bro wangu alimaliza bcom UDSM akawa anafundisha wenzake nyumbani huku na yeye anafanya na wote walifaulu. Yeye alikua anayajua hivyo alikua anafanya kwa ajili ya certificate tu ama kua certified.
Ndio maana nikakwambia huhitaji cheti cha CPA kufundisha watu wa cpa, kama unajua utafundisha tu na watafaulu. Kujua jambo sio lazima uwe na certificate yake, unajua tu. Certificate ni formality tu.
Ulichoandika uongo mtupu