Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

1. Kwanza sio lazima kusoma cpa ukasome kwenye tuition centres. Sio lazima.
2. Kwa kua sio lazima kufanya mitihani ya cpa uwe mwanafunzi wa centre hoyote, unaweza kusoma popote ama ukajisomea mwenyewe.
3. Usipende kutoa majibu ya jumla jumla' generalization syndrome'. Bro wangu alimaliza bcom UDSM akawa anafundisha wenzake nyumbani huku na yeye anafanya na wote walifaulu. Yeye alikua anayajua hivyo alikua anafanya kwa ajili ya certificate tu ama kua certified.

Ndio maana nikakwambia huhitaji cheti cha CPA kufundisha watu wa cpa, kama unajua utafundisha tu na watafaulu. Kujua jambo sio lazima uwe na certificate yake, unajua tu. Certificate ni formality tu.
Mtu anayejielewa anayesoma CPA hawezi kubali kufundishwa na mtu asiye na CPA

Ulichoandika uongo mtupu
 
Mtu anayejielewa anayesoma CPA hawezi kubali kufundishwa na mtu asiye na CPA

Ulichoandika uongo mtupu
Unabisha tu ili uonekane na wewe unajua kubisha.

Wewe unachotaka ni uelewe na ufaulu mtihani ama ufundishwe na mtu ili mradi tu ana cpa?

Common sense tu hata mkiwa mnasoma, hua mnafanya discussion wenyewe darasani, pale discussion hua ni kufundishana, mtu alieelewa vizuri afundishe wenzake ambao hawakuelewa ili muelewe na sio vinginevyo. Ama Discussion form one hua wanafanya na form 2?
 
MHN! napata tabu kidogo! huu ni uhujumu uchumi kwakweli!
  1. kuna mtu alisema ningejua kiingereza tu ningekuwa tajiri! siku zilivyokwenda akafanikiwa kumuoa mwalimu na baada ya muda akawa tajiri japo mwalimu alikuja kufa.(sasa usiniulize alikufaje ila jamaa ni tajiri)
  2. wengine wanasema ningesoma na kuwa nadegree tu ningekuwa tajiri.
  3. mwingine anasema ningekuwa sio mjane ningekuwa tajiri
  4. tumalizie na mwingine anasema nisingekuwa yatima ningekuwa tajiri nafikiri
nafikiri kikubwa ni mtazamo na vision yaani tunaona nini kwa kila tunachofanya, kwangu mimi ningekuwa na CPAT tungeelezana mtaani kazi ni nyingi mno cha msingi tafuta mshahara tu tabu watu wengi ni kama tumefungwa.
wako wafanyabishara wengi tu ambao hawajui uendeshaji wao wa biashara wanapata faida kwa kiasi gani au hasara kiasi gani? wanaishi kwa kufanyiwa hesabu kwaajiri ya mikopo na TRA na ndani mwao wangependa kujua hili. inawezekana wanaogopa gharama lakini kwangu nafikiri wakielekezwa vizuri wanaweza kuwa fursa na hili linaweza kufanyika kwa mtu kuwa tayari kujitolea.
nasema hivi kwa kuwa nilishajaribu zoezi linalofanana na hili na siku za mbeleni likaja kunipa pato kubwa tu lakini kwanza nilisota.
Wale wenye CPA tafadhari msikubali mwenzenu aaibike mwiteni ajibane kwenu kisha mengine yatafuata. vinginevyo unaaibika!
 
Sio kwamba ukishakuwa na CPA tu unaruhusiwa kufungua kampuni ya kukagua au kufanya mahesabu (Auditing Firm).

Ukiwa na CPA maana yake ni kwamba wewe ume graduate kuwa mhasibu. Ishu ya kuwa na muhuri ni ishu nyingine kabisa.
Huyo anajiandikia tu,hajui ukimaliza CPA unakua kwny category ya GA(Graduate accountant) bado miaka ya kadhaa ya kupambana kupata mhuri-CPA(PP),Kuna ACPA,FCPA safari Ni ndefu.Jamaa anajua ukipata tu CPA Basi unateleza tu.
 
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.

Dah.....bado nasisitiza ajira zipo nyingi sana....cha msingi soma fani unayoipenda hutokosa cha kufanya... full stop
 
Huyo anajiandikia tu,hajui ukimaliza CPA unakua kwny category ya GA(Graduate accountant) bado miaka ya kadhaa ya kupambana kupata mhuri-CPA(PP),Kuna ACPA,FCPA safari Ni ndefu.Jamaa anajua ukipata tu CPA Basi unateleza tu.
Hata hiyo naona ameichukulia simple simple tu. Angejaribu kufahamu wanayo wangapi akilinganisha na certificates nyingine
 
Huyu dada mbona kama muhaSibu wetu wa COESE UDOM
Kama kweli Bodi ya Uhasibu NBAAnimchukulie hatua haraka sana ikiwemo kuuta CPA yake Kwa kudhalilisha CPA na kusababisha mtafaruku kufanya CPA qualification yenye heshima mno kitaifa na kimataifa idharaulike

Wamwite NBAA na watoe public statement dhidi yake

Ila kama kweli mtu kama huyo NBAA isimuahe salama aachie hiyo CPA wamuondoe kwenye register ya Certified Public Accountants na wakimwondoa mwajiri amshushe mshahara alipwe wa digrii tu sio CPA
 
Hio ya kumchukulia hatua Kama anadanganya naiunga mkono kwa 100%.
 
Kama kweli Bodi ya Uhasibu NBAAnimchukulie hatua haraka sana ikiwemo kuuta CPA yake Kwa kudhalilisha CPA na kusababisha mtafaruku kufanya CPA qualification yenye heshima mno kitaifa na kimataifa idharaulike

Wamwite NBAA na watoe public statement dhidi yake

Ila kama kweli mtu kama huyo NBAA isimuahe salama aachie hiyo CPA wamuondoe kwenye register ya Certified Public Accountants na wakimwondoa mwajiri amshushe mshahara alipwe wa digrii tu sio CPA

Alishawai kuwa internship udom. Ila allishasepa udom.
 
Huyu dada mbona kama muhaSibu wetu wa COESE UDOM
NBAA National Board of Accountants and Auditors huyo mtu kama wenu chukueni hatua upesi itisheni Press conference mueleze matatizo kafanya kudhalilisha CPA na hatua mlizozichukua dhidi yake lier funzo.kwa wengine wasije dhalilisha fani yenye heshima kama CPA
 
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.

Wengi humu mnatoa comment bila kujua hasa huyu dada anafanya nini.
Hiyo video clip yake haielezi hasa business model yake na anaingiza shs ngapi.

Huyu dada hafanyi kazi za nyumbani kama wadada tunao waacha home. Yeye ameanzisha day care kwa ajili ya kulea watoto. Anakituo cha kulelea watoto. Watoto wana lelewa kwa kiwango cha juu.

Ana vision kubwa kuliko mnavyodhani.
 
Asingehusisha CPA kilichoongelewa hapo ni udhalilishaji CPA tunaiomba Bodi ya NBAA sajili CPA zote ichukue hatua hayo mambo ya sijui business model aende kujieleza NBAA wenye CPA Yao aliyodhalilisha mitandaoni
 
Back
Top Bottom