Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #81
Wamelaaniwa na watalaaniwa mileleDah ila haya ni matusi makubwa, hii ndio hatari ya hawa watu kubadilisha maneno kwenye vitabu vitukufu.
Sema kweli?He tried to cast it away
Aisee sikushtukia hii2020 hakukuwa na mbio za mwenge. Ni kwa mara ya kwanza tangu mbio za mwenge zianze enzi za nyerere.
Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona
chama cha mashetani ndio kitakua mwisho wao, maana ni kweli kabisa wamevunja maagano yao, so wajiandae kuachia ngaziwww.google.com
Mwenge ni lipepo libaya sana. JPM hakuukimbiza mwenge ile 2020 na mapema sana 2021 akaumaliza mwendo!Aisee sikushtukia hii
TrueThus hawataki uraia pacha sababu diaspora wao awalogwi wapo mbali akili zao zipo fresh wanaogopa wataleta vuguvugu la mageuzi kwa maiti hai.
kwakweli toka nimezaliwa hadi sasa sijawahi kupata jibu sahihi kuhusu faida za mwenge na sidhani kama hakuna wanaojuwa ila watakuwa wanakiapo kutosema.Kwa hiyo uo wenge ni Kwa ajili ya uraisi, au ni tambiko Kwa ajili ya raisi?, Ili Mambo yake yaende vizur
JIBU NI HAPANA MWENGE SIO UCHAWI NI ISHARA YA MWANGA YANI MATUMAIN KUONESHA MAMBO YALIYOJIFICHA , KUNA MAMBO YANAFANYIKA WANANCHI HATUJUI IVO SEREKALI HUTUMIA MWENGE KUONESHA KAMA NI MAZURI YAMETENDEKA AU MABAYA BILA KIFICHO KWAIYO NAOMBA TUSIUBEZE SANA HAUNA NIA MBAYAView attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.
Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.
Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?
Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.
Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.
Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali
Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Kwa maana hii tuache kukimbiza mwenge wa uhuru badala yake tukimbize jiwe la Tanzanait? Kwani watanzania wanaoishi vijijini hawaijui jiwe la Tanzanait, wakiliona wanaweza kugundua sehemu nyingine zaidi ya Mererani.View attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.
Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.
Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?
Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.
Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.
Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali
Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Kuna haja gani ya kufanya mbio zisizo na faida?Kwa maana hii tuache kukimbiza mwenge wa uhuru badala yake tukimbize jiwe la Tanzanait? Kwani watanzania wanaoishi vijijini hawaijui jiwe la Tanzanait, wakiliona wanaweza kugundua sehemu nyingine zaidi ya Mererani.
Ni hasara zipi wanazipata nchi zisizo na mwenge kama Zambia, Kenya nkJIBU NI HAPANA MWENGE SIO UCHAWI NI ISHARA YA MWANGA YANI MATUMAIN KUONESHA MAMBO YALIYOJIFICHA , KUNA MAMBO YANAFANYIKA WANANCHI HATUJUI IVO SEREKALI HUTUMIA MWENGE KUONESHA KAMA NI MAZURI YAMETENDEKA AU MABAYA BILA KIFICHO KWAIYO NAOMBA TUSIUBEZE SANA HAUNA NIA MBAYA
Daraja limepewa jina la Tanzania halafu kilichowekwa mwenge ni kitu tofauti kabisa na kusudio la jina lenyewe, ifike mahali kila kitu kitumike kilivyokusudiwa, mfano mwenge kuwepo kwenye pesa hiyo peke yake umepewa heshima kubwa na daraja liilifaa toka mwanzo iwekwe Tanzanite ndio inaleta maana halisi ya TanzaniteView attachment 2473444