Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

Aisee sikushtukia hii
Mwenge ni lipepo libaya sana. JPM hakuukimbiza mwenge ile 2020 na mapema sana 2021 akaumaliza mwendo!

Samia alipoingia akaona isiwe tabu akaendelea kukumbiza mwenge.

Ingelikuwa mwenge hauleti hofu, Samia alikuwa na chance kubwa ya kuuweka makumbusho maana mtangulizi wake alishaupiga stop mwaka mmoja kabla
 
Maagano ya kipepo yanasafiri vizani na vizazi na kuleta maangamizi kama hatatokea mtu ndani ya kizazi a break chain kwa kuyakataa maagano hayo, Mtu huyo awe kiongozi au mkuu Wa kaya inayohitaji kujinasua, inawezekana kweli Mwendazake kulingana na Historia ya mwenge alitamani kuyavunja maagano hayo lakini kuvunja maagano kunahitaji nguvu hasa ya kiroho inawezekana alikuwa na michanganyo la sivyo kama huna nguvu za kiMungu lazima nguvu ya giza ikutopdown. Aliyakataa mambo ya wanikorai lakini akawa hana. nguvu ya kiroho ya kushinda ngome za giza alifaulu ktk kipindi chake kutohudhulia vikao vyao akasahau nguvu zitaingilia mlango ambao aliuupa kibali bila kujua au kuwa elimu ya kiroho na maongozi ya kuingia kwenye jambo zito la uongozi wa kitu kinachoitwa Nchi bila zindiko la wazee au zindiko la Roho Mtakatifu nguvu hizi mbili zinapingana na huwezi kuwa natural ukatoboa.
Ndiyo maana Mama anakubali baadhi mambo hata kama hataki anaagizwa na nguvu, wakati mwingine tusimlaumu kwa maana anakuwa katikati ya uchaguzi nikubali niishi au nikatae nionfoke.
Uongozi siyo kazi rahisi sana kama tunavyofikiria lazima wakati mwingine ujitoe ufahamu ukubaliane na mtawala wa dunia hii rusfa, I tell you the smartest persons in this world does not have intelligence that can compare Satan and or the fallen Engle's.
Mnaotaka uongozi anzeni kujifua ama kwa Satan au kwa Mungu lakini usitegemee kuwa neutral ukaweza utateuliwa na kutenguliwa kesho yake. Lazima ukubaliane nguvu na inayotamalaki anga.
MWENGE BADO UPO SANA KWA MAANA NGUVU ILIYOUWEKA BADO INA NGUVU NA IKO HAI. Na ujue hill LA nembo ya Tsnzsnite limepewa kibali kabla ya kufanyika. Yeye ndiye mtawala Wa madini yote na Vito hivyo amefanya hivyo kwa kujitukuza.
Have a good day.
 
Kwa hiyo uo wenge ni Kwa ajili ya uraisi, au ni tambiko Kwa ajili ya raisi?, Ili Mambo yake yaende vizur
kwakweli toka nimezaliwa hadi sasa sijawahi kupata jibu sahihi kuhusu faida za mwenge na sidhani kama hakuna wanaojuwa ila watakuwa wanakiapo kutosema.
 
View attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.

Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.

Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?

Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.

Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.

Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.

Isaya 50:11 BHN​

Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali

Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
JIBU NI HAPANA MWENGE SIO UCHAWI NI ISHARA YA MWANGA YANI MATUMAIN KUONESHA MAMBO YALIYOJIFICHA , KUNA MAMBO YANAFANYIKA WANANCHI HATUJUI IVO SEREKALI HUTUMIA MWENGE KUONESHA KAMA NI MAZURI YAMETENDEKA AU MABAYA BILA KIFICHO KWAIYO NAOMBA TUSIUBEZE SANA HAUNA NIA MBAYA
 
Kwa maana hii tuache kukimbiza mwenge wa uhuru badala yake tukimbize jiwe la Tanzanait? Kwani watanzania wanaoishi vijijini hawaijui jiwe la Tanzanait, wakiliona wanaweza kugundua sehemu nyingine zaidi ya Mererani.
 
Kuna haja gani ya kufanya mbio zisizo na faida?
 
JIBU NI HAPANA MWENGE SIO UCHAWI NI ISHARA YA MWANGA YANI MATUMAIN KUONESHA MAMBO YALIYOJIFICHA , KUNA MAMBO YANAFANYIKA WANANCHI HATUJUI IVO SEREKALI HUTUMIA MWENGE KUONESHA KAMA NI MAZURI YAMETENDEKA AU MABAYA BILA KIFICHO KWAIYO NAOMBA TUSIUBEZE SANA HAUNA NIA MBAYA
Ni hasara zipi wanazipata nchi zisizo na mwenge kama Zambia, Kenya nk
 
View attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.

Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.

Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?

Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.

Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.

Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.

Isaya 50:11 BHN​

Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali

Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Daraja limepewa jina la Tanzania halafu kilichowekwa mwenge ni kitu tofauti kabisa na kusudio la jina lenyewe, ifike mahali kila kitu kitumike kilivyokusudiwa, mfano mwenge kuwepo kwenye pesa hiyo peke yake umepewa heshima kubwa na daraja liilifaa toka mwanzo iwekwe Tanzanite ndio inaleta maana halisi ya Tanzanite
 
... nikikumbuka hii takataka inayoitwa mwenge inavyoharibu shughuli na safari za watu mnasubirishwa masaa eti mwenge unapita nakereka sana na huo uchafu.
 
Back
Top Bottom