Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

CD aliamuru hosipitali ya wilaya ya Mwanga kujengwa kijijini kwake Usangi. Usijitoe ufahamu.
 
Aaahh..this is nonsense...when a politician fails to win in the ballot box..he will find any other means to justify his shoddy claims.. my fellow tzans..please lets be positive..can you emagine..what if mwalim favoured his home town, how would it be today? In the lake zone we would have two business centers..mwanza and let say butiama...things would have been better now..thanks to Magu..by developing Chato we are going to have mwanza..geita( chato) as business centers in the zone..infact if chato is well developed it will open the opportunities for any one to live, do business or any other economic activities..by doing that, there will be atleast equal distribution of our economy, insteady of having only dsm as a hub of tanzania economy.
Stop being negative always..political motivated..be positive bro!
 
Mkuu 'Zygot',

Nimekusoma mara mbili, na bado nikabaki katikati, sijui niegemee wapi kuhusu haya uliyoandika hapa.

Upendeleo wa aina yoyote, hasa huu wa kikabila ni janga kubwa sehemu yoyote.

Mifano uliyoitoa hapa, ya makabila hayo uliyotaja ni kweli ilisemwa na kweli ilikuwepo; lakini hiyo haikuihusisha ofisi kuu ya nchi. Mwalimu Nyerere aliwahi kuizungumzia mapema baada ya uhuru, na hakuacha kufanya juhudi za kuondoa hali hiyo kwa kueneza elimu nchi nzima.

Sasa ni tofauti kabisa, tunaona anayetakiwa kuzuia hali hiyo ya upendeleo ndiye anayehusika kuieneza. Ni tofauti sana na ulivyoeleza hayo uliyoyaeleza hapa.
 
Mimi nitamlaumu Kikwette mpaka naingia kaburuni. Chuki yake dhidi ya Edward Lowassa na dhambi za mtandao wao wa 2005 ndiyo zimetufikisha hapa. Alimchukia Lowassa akalazimisha Benard Membe, na kwa hasira za WAJUMBE WA NEC tukauvaa huu mkenge.

Huyu mtu kumbe hata Mama yake mzazi anayeumwa aliwaonya kuwa hafai kwa kazi ya U-Rais, lakini kwa vile Kikwette alidhani anamuwekea Membe wapinzani dhaifu akakuta Meko kawa Rais.
 
Ina maana hujui kama kitovu cha utalii kwa kanda ya ziwa kipo chato???? usijisahaulishe bwana, haukumbuki maneno ya aliyekuwa mjumbe kisiki wa tume ya warioba kuhusu chato??? subiri kwanza tukamilishe kuigeuza chato iwe dubai
 
Ubaguzi umekuwepo tangu kuanzishwa hili taifa ndia maana ulikua unasikia watu wakutoka kanda flani hawatakiwi kuwa marais nk, huu ni muendelezo tu. Watz wanaroho mbaya sana.
 
Eti wahaya hawaalikani? Naona umelewa rubisi si bure.

Infact hao uliosema wamejaa CRDB na TRA wapo na walikuwepo na watazidi kuwepo
Atakuwa muhaya, kuna kabila waliojazana kwenye taasisi za serikali kipindi cha nyuma kama wahaya? na wewe ni mchaga maana umesisitiza wataendelea kuwepo 😂😂😂😂
 
Uwe unaongea mambo uliyo na uhakika.

Hiyo dhahabu unayosema ni nyingi kuliko iliyokwishachimbwa, huko Sikonge ipo sehemu gani? Nani aliyefanya huo itafiti?

Dhahabu yote Tanzania iliyokwishachimbwa na iliyopo ni ounces 45m, ambayo ni kidogo kuliko dhahabu iliyochimbwa eneo moja tu la Nevada, USA (zaidi ya ounces 205m), au iliyochimbwa toka mgodi 1 wa Australia (Superpit - WA) au South Africa (Witwatersrand).
 
Rais Magufuli hakustahili kuwa kiongozi wa Taifa kwa sababu kwa hulka yake, inaonekana ni mtu mwenye moyo wa kupenda kupendelea, kuonea au kukomoa. Wwti wa nna hii wanastahili kuishia kwenye utendaji na kusimamiwa na mtu mwingine.

Anapopewa nafasi kubwa kama aliyo nayo sasa, halafu anaachwa aongoze kwa muda mrefu, alikabidhiwa nchi, yeye atakabidhi vipande vya nchi.

Si watu wengi wenye uwezo wa kujitenga na upendeleo. Ni wachache sana, mwalimu Nyerere alikuwa mwa hao wachache sana.
 
funguka zaidi tukuelewe kiongozi sema wazi kanda zipi /mikoa ipi au kabila zipi zinaonewa na na zipi zinapendelewa ili tuone uhalisia wake hii itatusaidia kuchangia kwa uwazi bila majungu
 
Hee kumbe wapo watanzania wanaoona ! Nilidhani niko peke yangu. Tumwombe sana mungu atuepushe na majanga haya. Nadhani Nyerere haamini kinachoendelea kama kweli anaishi. Nafikiri ni makosa yetu wenyewe, tusimlaumu mtu .hatukufuata ushauri wake
 
Hiyo miradi ingejengwa Kaskazini kusingekuwa na kelele ila kwa vile inajengwa maeneo mengine ya nchi ndo maana mnapanua vidole na midomo. Watu wa Kaskazini ni wabaguzi sana
 
Wewe ulimwelewaje ndugu ili nielewe?
Alisema hivi: "Una umri gani wewe? Upendeleo ulikuwepo miaka yote. Nahisi kuna watu upendeleo umewatega mgongo ndo maana wanalia lia! Walipopendelewa wakasema ni haki yao. tulieni nchi inyooke"

Maana yake - hata kabla ya uhuru na wakati wa awamu ya kwanza, na zilizofuata, kuna sehemu fulani Tanzania zilipendelewa sana na nyingine zilibaki nyuma - sasa basi hizo zilizopendelewa zililichukulia hili la upendeleo kama ni kawaida! Yaani lazima wapatiwe keki kubwa kuliko wenzao. Na sasa wanapoona sehemu nyingine zinaendelezwa na wao wana chapa mguu (mark time), wanakereka na kupinga vikali sana - hawatakii! Ni hivyo mkuu nilivyoelewa.
 
Hiyo miradi ingejengwa Kaskazini kusingekuwa na kelele ila kwa vile inajengwa maeneo mengine ya nchi ndo maana mnapanua vidole na midomo. Watu wa Kaskazini ni wabaguzi sana
Ni wapi ktk Post amezungumzia kaskazn?
Unawashwa na kaskazn?
Kaskazn ilishaendelea kitambo,kule Hakuna ufukara Kama huko lake zone kwenu hebu Soma hii ripoti ya serikali kwanza
 
Unaota ndoto wewe
Mbona kwasasa mikoa maskini 10 karibu yote Ni ya Kanda ya ziwa? Si tungetakiwa tuone wakiwa matajiri?
Kwasasa Kanda ya kaskazn haina mpinzani kimaendeleo sio tu ya kimkoa Bali ya mtu mmoja mmoja Bali
Soma ripoti hiyo
 
Asante mtani wangu kwa kiwaeleza,kiufupi watu wa Kilimanjaro maendeleo yaliyo kule mengi Ni juhudi zao
 
Infact Ni kweli Hakuna mkoa wowote tz wenye miundombinu bora vijijin kuizidi killinanjaro
Hata huduma za jamii Kama shule, zahanati ,vituo vya afya Kilimanjaro haina mpinzani
 
Kunywa balimi moja nitalipa
Kuna watu hawajui Siri ya maendeleo kule UCHAGANI Ni juhudi zao wenyewe,mfano Ile mighorofa huko migombani Ni juhudi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…