Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Kwani nani hajasoma kabla ya uhuru ? Mwaka 1945 watanganyika wawili waliingia kwenye Baraza la kutunga sheria la mkoloni nao ni Kidaha Makwaia Msukuma Shagali mchagga. Sasa utasemaje kwamba wengine hatujasoma kabla ya uhuru. We vipi hata historia hujui ?
Hahahaha
 
Kama unamiliki ekari kumi za mpunga Nini kinakufanya ushindwe kujenga nyumba ya bati? Badala yake unalala kwenye tembe?[emoji1][emoji1]
Bukoba vijijini kunanoga kimya kimya.

Bukoba mjini nayo naona inakua na kupanuka sana kimya kimya .

Maeneo ya kyaka misenyi View attachment 1701790
Screenshot_20210201-212810.jpg
 
Hatuna haja ya kufanana na wachagga ambao wanajifanya wachamungu halafu Disemba wanaenda kufanya matambiko huko migombani. Ninasema never.
Kwani wasukuma hawafanyi matambiko? Yale mafisi yenu mnayoyaabudu je?
Mila za UCHAGANI Ni Mila Safi zenye kuchochea maendeleo,sio Kama zenu za kuozesha mabinti wadogo kwa ng'ombe rubbish kabisa
 
Wewe hujui kitu mbona wahaya nyumba nzuri vijijini na hatusikii majigambo ya kijinga kama ya wachagga ? Ubaguzi unawatesa mpaka mnaudhi
Sasa imekuuma Nini sisi kujenga majumba vijijin? Na nyie jengeni kwenu
Chuki yako ndio inakutesa pole
NB
hao unaosema wamejenga vijijin ni wanafunz wetu,ndio tunawafundsha namna ya kujenga vijijin sisi Kilimanjaro Ni mwalimu wao tangu enz za mkoloni[emoji1][emoji1]
 
Kajengeni makaz bora mfanane na wachaga, UCHAGANI Hakuna nyumba ya nyasi hata moja
Hatuwezi kuwafikia. Mmeshatangulia toka enzi ya mkoloni. Lakini msione wivu mradi wa maji au barabara unapopelekwa katika maeneo yetu. Msione mnabaguliwa. Sio ubaguzi, ni kupeleka huduma karibu na wananchi kama ambavyo wananchi wa Kilimanjaro wana huduma za maji, umeme, elimu, afya na barabara karibu kabisa na makazi yao.
 
Majengewa sawa,jee mmajua kutumia?,jee mtaweza kutunza?
 
Nani analala kwenye tembe ? Hao wenye matembe yao DOM/SINGIDA wameanza kuyaacha. Ndio maana nimekuambia mara nyingi usikariri dunia inakwenda kasi now.
Kama unamiliki ekari kumi za mpunga Nini kinakufanya ushindwe kujenga nyumba ya bati? Badala yake unalala kwenye tembe?[emoji1][emoji1]
 
Yangekuwa makabila mengine hayasoma kabla ya uhuru basi uhuru wa nchi hii ungeletwa na wachagga tu. Lakini kumbuka hata Baraza la waziri la kwanza wakati Tanganyika inapata uhuru lilikuwa na mawaziri kutoka makabila tofauti na walikuwa wamesoma. Wewe umeng'ang'ania tu wachagga peke yao ndio waliosoma kabla ya uhuru. Pole sana.
 
Back
Top Bottom