luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kwahyo geita,mwanza kwenye ripoti yetu ya umaskini zinakaliwa na wadengereko?[emoji1][emoji1]Nimekwambia hakuna msukuma maskini. Huelewi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo geita,mwanza kwenye ripoti yetu ya umaskini zinakaliwa na wadengereko?[emoji1][emoji1]Nimekwambia hakuna msukuma maskini. Huelewi ?
HahahahaKwani nani hajasoma kabla ya uhuru ? Mwaka 1945 watanganyika wawili waliingia kwenye Baraza la kutunga sheria la mkoloni nao ni Kidaha Makwaia Msukuma Shagali mchagga. Sasa utasemaje kwamba wengine hatujasoma kabla ya uhuru. We vipi hata historia hujui ?
Bukoba vijijini kunanoga kimya kimya.Kama unamiliki ekari kumi za mpunga Nini kinakufanya ushindwe kujenga nyumba ya bati? Badala yake unalala kwenye tembe?[emoji1][emoji1]
We nenda Kona bar ujioneeWanaojiuza dar wanajulikana,wengi Ni wa kule bk wasukuma pia wamo
Kwani wasukuma hawafanyi matambiko? Yale mafisi yenu mnayoyaabudu je?Hatuna haja ya kufanana na wachagga ambao wanajifanya wachamungu halafu Disemba wanaenda kufanya matambiko huko migombani. Ninasema never.
Subiri kidogo nipo na hawa watani zako wapanda FISI kina nizakaleBukoba vijijini kunanoga kimya kimya.
Bukoba mjini nayo naona inakua na kupanuka sana kimya kimya .
Maeneo ya kyaka misenyi View attachment 1701790View attachment 1701791
Sasa imekuuma Nini sisi kujenga majumba vijijin? Na nyie jengeni kwenuWewe hujui kitu mbona wahaya nyumba nzuri vijijini na hatusikii majigambo ya kijinga kama ya wachagga ? Ubaguzi unawatesa mpaka mnaudhi
Hapa Ni ROMBO mashati wala sio mjini ni local area tu huko wilayan ROMBO tulia kabisa mwanafunzi wangu[emoji1][emoji1]Bukoba vijijini kunanoga kimya kimya.
Bukoba mjini nayo naona inakua na kupanuka sana kimya kimya .
Maeneo ya kyaka misenyi View attachment 1701790View attachment 1701791
Hatuwezi kuwafikia. Mmeshatangulia toka enzi ya mkoloni. Lakini msione wivu mradi wa maji au barabara unapopelekwa katika maeneo yetu. Msione mnabaguliwa. Sio ubaguzi, ni kupeleka huduma karibu na wananchi kama ambavyo wananchi wa Kilimanjaro wana huduma za maji, umeme, elimu, afya na barabara karibu kabisa na makazi yao.Kajengeni makaz bora mfanane na wachaga, UCHAGANI Hakuna nyumba ya nyasi hata moja
Majengewa sawa,jee mmajua kutumia?,jee mtaweza kutunza?Hatuwezi kuwafikia. Mmeshatangulia toka enzi ya mkoloni. Lakini msione wivu mradi wa maji au barabara unapopelekwa katika maeneo yetu. Msione mnabaguliwa. Sio ubaguzi, ni kupeleka huduma karibu na wananchi kama ambavyo wananchi wa Kilimanjaro wana huduma za maji, umeme, elimu, afya na barabara karibu kabisa na makazi yao.
Wewe hujui kitu. Ninajadiliana na mbumbu mzungu wa reliAliekwambia ardhi ina uhusiano n'a utajiri/umaskini ni Nani?
Sweden, Finland, Belgium Ni matajiri je wana ardhi kubwa kuzidi Tanzania? Hahahaha low thinking capacity
Sijakataa Ila kwa Kilimanjaro kwasasa haina mpinzani kwa mijengo ya kisasa vijijin na sii sasa tu ni tangu zamani
Kama unamiliki ekari kumi za mpunga Nini kinakufanya ushindwe kujenga nyumba ya bati? Badala yake unalala kwenye tembe?[emoji1][emoji1]
Watanzania tuliukataa mfumo huo wa majimbo na ndio maana tuliwaadhibu waliotaka kuuleta 2020!Tunakoelekea bora tugawane majimbo kila jimbo lijiendeshe lenyewe maana kwa mfumo huu tulonao ni kama unyonyaji kwa baadhi ya mikoa.
Kwahyo geita,mwanza kwenye ripoti yetu ya umaskini zinakaliwa na wadengereko?[emoji1][emoji1]
Yangekuwa makabila mengine hayasoma kabla ya uhuru basi uhuru wa nchi hii ungeletwa na wachagga tu. Lakini kumbuka hata Baraza la waziri la kwanza wakati Tanganyika inapata uhuru lilikuwa na mawaziri kutoka makabila tofauti na walikuwa wamesoma. Wewe umeng'ang'ania tu wachagga peke yao ndio waliosoma kabla ya uhuru. Pole sana.Hahahaha
Bukoba vijijini kunanoga kimya kimya.
Bukoba mjini nayo naona inakua na kupanuka sana kimya kimya .
Maeneo ya kyaka misenyi View attachment 1701790View attachment 1701791
Baba anazaa na mke wa mwanae. Kweli wachagga hovyo.Kwani wasukuma hawafanyi matambiko? Yale mafisi yenu mnayoyaabudu je?
Mila za UCHAGANI Ni Mila Safi zenye kuchochea maendeleo,sio Kama zenu za kuozesha mabinti wadogo kwa ng'ombe rubbish kabisa
Maeneo ya bungangusi kamachumu mulebaaàHapa Ni ROMBO mashati wala sio mjini ni local area tu huko wilayan ROMBO tulia kabisa mwanafunzi wangu[emoji1][emoji1]View attachment 1701796
Maeneo ya bungangusi kamachumu mulebaaàView attachment 1701983Hapa Ni ROMBO mashati wala sio mjini ni local area tu huko wilayan ROMBO tulia kabisa mwanafunzi wangu[emoji1][emoji1]View attachment 1701796